tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hongereni Mawakili wa Tundu Lissu, Hii iwe hatua ya mwanzo, zingine kali zaidi zifuate

    Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention) Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ole Sendeka: Natamani Tundu Lissu atoke gerezani aje ashindane na Rais Samia

    “Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile” Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prophet Malisa: Mimi naliombea taifa la Tanzania na viongozi wote akiwemo Tundu Lissu

    Mtumishi wa Mungu Phophet Clear Malisa ametoa wito kwa watanzania kuilinda amani kwa gharama yoyote hasa katika kupindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu. Prophet Malisa akifanya mahojiano nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma alipokuwa amealikwa kwenye Mkutano...
  4. JamiiForums Tanzania Sikilizeni wimbo huu Free Tundu Lissu!

    Hii ni moja ya nyimbo ikieleza hisia na kusisitiza kuachiwa uhuru Tundu Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
  5. JamiiForums Tanzania Mama Sikiliza Mahubiri ya Kipindi Hiki Kuhusu Anachofanyiwa Tundu Lissu

    Kama utaendekeza falsafa God bless Tundu Lissu
  6. JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  7. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuchaguliwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti IDU

    UMUHIMU WA KUCHAGULIWA LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU KATIKA SIASA ZA UPINZANI NCHINI TANZANIA! Watu wengi wanajadili kuhusu Tundu Lissu kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa IDU. Kilichovutia wengi ni kitendo cha kuchaguliwa kwake akiwa gerezani hivyo kuthibitisha uwezo na mvuto wa Lissu hata...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Ni aibu, mtu anayemkumbusha Rais kuhusu 4R kuitwa mhaini

    John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
  9. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali imuachie Lissu; Mambo yasiwe Mengi. Patterns hazijakaa vizuri

    Mpo Salama bila Shaka! Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo. Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata? Ni juzi tuu wala sio Mbali. Wataalamu wa mambo yajayo...
  10. JamiiForums Tanzania Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya Africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini

    Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu . Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama na Misuse of Power: Uhalisia wa Kuvunjwa kwa Haki za Kikatiba kwa Kesi ya Tundu Lissu

    Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Letter from Birmingham Jail by Martin Luther King Jr. vs Letter from Ukonga by Tundu Lissu

    Letter from Birmingham Jail The "Letter from Birmingham Jail", also known as the "Letter from Birmingham City Jail" and "The Negro Is Your Brother", is an open letter written on April 16, 1963, by Martin Luther King Jr. It says that people have a moral responsibility to break unjust laws and...
  13. JamiiForums Tanzania Baba Asikofu Joseph at Mwingira Toa neno la Uzima wa Lissu

    Baba Asikofu popote ulipo POKEA salamu Yangu sifi leo Muuumini wako mwema. Baada ya salamu nakuomba Baba utoe Neno dhidi ya Mh Tundu Lissu aliyenusulika kuwa kwa risasi 16 Sasa ana kesi ya uhaini ambayo akipatikana na HATUA adhabu yake ni kunyongwa mpaka afe. Baba Asikofu Mimi muumini wako...
  14. JamiiForums Tanzania Mtu yeyote atakayemuumiza Lissu mwisho wake ni aibu. Lissu ni mkakati wa Mungu inevitable

    Nimewahi kusema hili na ninalisema tena hapa. Lissu kakàa gerezani uso wake umenawiri, ana furaha lakini waliomtupa gerezani wamekosa furaha kabisa. Mtu yeyote bila kujali cheo alicho nacho, mali alizonazo kama akipigwa pigo la ufahamu anakosa furaha na amani na mtu anapokosa amani tayari vita...
  15. JamiiForums Tanzania T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya. Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deus Kibamba: Nimeoteshwa, serikali wakati wowote inaweza kuja na "nole porescute" au "unwilling to continue" na kesi dhidi ya Tundu Lissu

    https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA mkoa wa kichama, Kinondoni - DSM, ndugu Sunday.. Mjadala umejikita kujadili agenda ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Tundu Lissu, John Heche na wengineo. Jipeni moyo, msikate tamaa

    Nashukuru sana waheshimiwa Tundu Lissu, John Heche na wapigania uhuru wengine wa CHADEMA. Jipeni moyo, msikate tamaa. Inawezekana siku ile unayokata tamaa ndo siku ya kukamilika kwa ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na ugumu wa safari na nature ya watu wengine kuwa na interest tofauti...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu zinazomfanya Tundu Lissu kuwa shujaa wa taifa la Tanzania. Ndani na nje ya nchi amepata sifa kubwa

    Kutaka taifa la Watanganyika kuwa na katiba ambayo italinda na kutetea rasilimali za Watanganyika. Kuwa msema kweli na kutopindisha maneno. Kuwa Mzalendo wa kweli.
  19. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu sana Sugu, Wenje, Mbowe kubakia CHADEMA hii yenye msimamo mkali ya Lissu na Heche

    Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa. Ni suala la muda tu. Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu...
  20. JamiiForums Tanzania Hoja kuu za Tundu Lissu kwanini No reform No Election -Wanjira

    Wakati Nasoma Medicine kama undergraduate , niliamini Human anatomy ni one of the most complex areas of study in medicine ——The interconnected systems working together is a mythical thing. Nilipoanza kusoma Postgraduate upande wa Oncology nikagundua Cells Multiplications and Mutations ni the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…