tundu lissu

  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Tundu Lissu ataweza kuchukua nchi?.

    Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo. Mimi siyo mtabiri. Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao. Kikubwa wanasiasa hawana dini na hawaamini kama kuna Mungu, wewe angalia matendo yao. Njoo kwenye mada sasa...
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliwahi kutoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuungana na CHADEMA, unadhani ni kwanini vyama vyote vya siasa vilipuuza wito huo wa lissu?

    Je, walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe? Au ni kwasasababu uropokaji, kukosa maono kwa Lisu, kukosa hekima na busara kwa huyo mtoa wito asie aminika na mwenye...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Free Tundu Lissu Song

    https://youtu.be/-XTSbsRSCZE?si=xmjmw5AFhFe1ayAm
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CHADEMA hawakuandaa "back - up" ya Tundu Lisu, huenda Mbowe akafaa huko mbeleni

    Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu sio mtu kawaida

    Mimi sio mtu wa siasa kabisa. Falsafa yangu kuhusu maisha ipo tofauti kabisa na mambo ya siasa. And my life is moving in the direction of my life philosophy. But guys am telling you, Lissu sio mtu wa kawaida. He represents a very higher and powerful entity in the realm of the spirits...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mlawi: Kesi ya Lissu ziharakishwe kabla ya Uchaguzi

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini kuharakisha usikilizwaji wa kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuhakikisha suala hilo...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania yaondoa Maudhui ya mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu kwenye Mtandao wa YouTube

    Mahakama ya Tanzania imeondoa Maudhui ya Kesi ya Tundu Lissu kwenye Akaunti ya Mtandao wake wa YouTube. Hii ina maana gani? Ikumbukwe, zaidi ya watu 18,000 walifuatilia kesi hii 'Live' kwenye akaunti hiyo pekee ilipotajwa kwa mara ya mwisho Juni 2, 2025 huku makumi ya maelfu wakiendelea...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, kukamatwa Tundu Lissu ndio chanzo cha haya yote?

    Kama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona. Kwanini?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

    Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu. Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri.. Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Kesi ya Pili ya Tundu Lissu kuhusiana na Uchochezi hairushwi live?

    Wandugu Mahakama walituahidi kesi za Tundu Lissu zitarushwa live leo. Tunafahamu Tundu Lissu ana kesi mbili, Ya Uhaini na ya Uchochezi. Kesi ya Uhaini imehairishwa, vipi ya uchochezi ambayo mashahidi wanapaswa kuanza kutoa ushahidi leo?
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu. Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
  14. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

    Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani. Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyo
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godwin Mollel: Mwanaume mzima analaumu Wanaume wenzake, hiyo ni kutojielewa

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa. Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga pasi wewe unaenda kulaumu wanaume wenzako asubuhi mpaka jioni.”
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, Askofu Gwajima akihudhuria kesi ya Tundu Lissu atakuwa amejivua uanachama wa CCM?

    Nauliza tu kama askofu Gwajima atahudhuria kesho kisutu atakuwa amejivua uanachama wa CCM Kesi ya uhaini maana yake Serikali ya CCM ilitaka kutolewa mahakamani 🐼
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

    "Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!. Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru...
  18. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Gwaji boy katumwa kutuhamisha kwenye kesi ya Tundu Lissu na Chadema. Shitukeni

    Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu. Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawakili wa Tundu Lissu wawasilisha malalamiko umoja wa mataifa, kushinikiza hatua za kimataifa

    Mawakili wa mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania ambaye yuko gerezani TUNDU LISSU wamewasilisha malalamiko mbele ya Jopo la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia vitendo vya Ukamataji Watu Kiholela. Wakili wa Lissu, Robert Amsterdam amesema malalamiko hayo ni sehemu ya kampeni pana ya...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hongereni Mawakili wa Tundu Lissu, Hii iwe hatua ya mwanzo, zingine kali zaidi zifuate

    Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention) Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu...
Back
Top Bottom