Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema...
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030
Tume ya Huru ya...
Sijamsingizia yeyote. Moderators najua mtataka kuufuta huu uzi. Ila sijavunja kanuni yoyote.
Kwa umri samia hawezi kuwa na mtoto kama Tundu Lissu. Nakumbuka samia akiwa zanzibar alimwona Simba mmoja machachari yaani pamoja na kuwa kwenye cage bado hakuwa mnyonge.
Alikuwa akizunguka zunguka...
https://youtu.be/mzQEeiy4TjE?si=fkKNag_Pg0wJdYU_
➡Kumbe Lissu ameshitakiwa kwa makosa matatu tu ambayo upelelezi wake umekamilika...
➡Kosa la "TREASON" ama "UHAINI" limewekwa "just by the way" tu kwa kuwa hata aliyeandaa shitaka hilo (serikali) naye anasema "bado hana uhakika" kwa kuwa...
KESI YA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE No. 2207/58, KESI YA FIDEL CASTRO 1953 NA KESI YA TUNDU LISSU
Nimeamka na Maktaba.
Kwa haraka haraka nimepitia kijuujuu vitabu hivi viwili vya watu maarufu duniani - Mwalimu Julius Nyerere na Fidel Castro wa Cuba wakishtakiwa na serikali zao zilizokuwa...
https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb
➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini..
➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali
Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD
In brief:
➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward...
➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
Umoja wa Demokrasia wa Afrika unatoa wito kwa kuachiliwa mara moja kwa Mhe. Tundu Lissu. Mashtaka ya uhaini kwa kusukuma mageuzi ya uchaguzi? Hili ni janga kwa demokrasia yetu. Tunazihimiza @_AfricanUnion, SADC na asasi za kiraia kuchukua hatua.
=======
The Democracy Union of Africa calls for...
"Kukamatwa kwa ndugu Lissu ni muendelezo wa kukosa ustahimilivu wa dola na serikali, ni shambulio la wazi la demokrasia ya vyama vya upinzani, natumia nafasi hii kulitaka jeshi la polisi kumuachia maraa moja bila masharti yoyote ndugu Tundu Lissu" - Isihaka Mchinjita, Waziri Mkuu kivuli, ACT...
Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani
Unaposema utazuia uchaguzi lazima utambue kauli hiyo ipo kinyume na Sheria za eneo fulani kwa tafsiri nyingine kwamba lazima utambue unakinzana na...
Pale Songea baada ya hali ya kiuchmi kua ngumu kidogo kwa msafara wa chadema Songea, kama kawaida ya tabia yake ya kuomba omba, Tundu Lisu aliomba kuchangiwa pocket money kidogo na wananchi wa Songea, na kibakuli kikapitishwa na pesa zikachangwa na wananchi.
Je,
baada ya Lisu kukamatwa, ni nani...
Mbunge wa Geita Vijijini, Mhe. Joseph Musukuma, amesema kuwa kampeni ya No Reforms No Election inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haina nafasi ya kufanikiwa kwa sababu haina uwezo wa kuzuia uchaguzi mkuu. Aidha, amedai kuwa kuna mipango inayoendelea ndani ya chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.