Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya...
Huu ni utafiti wangu mdogo nilioufanya jana na leo,sikutegemea kama kesi ya Antipas Lissu ingefwatiliwa na watu wengi kiasi hiki. Leo wanaume kwa wake wanaijadili kauli ya Tundu lissu kwa nini azuiwe kuabudu?
Ukitegemea lawama zote anatupiwa Rais wa inchi ambaye ni Muisilamu, haina tofauti na...
Wakili wa Kimataifa, "Robert Amsterdam" amerusha mawe mawili gizani kwa kuisakama na kuiponda serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan kwa ukandamizaji wa haki, sheria na uonevu kwa Raia wa Tanzania.
Kupitia ukurasa wake wa X Robert Amsterdam ametweet na kusema, "Tunampongeza...
NImekuwa najitahidi sana kufuatilia dhamira ya ndani ya Tundu Lissu na nimekuja kugundua inawezekana hana nia ovu na taifa hili.
Inawezekana ana mapungufu yake mengi mathalani kutumia lugha za uchochezi au tonne mbaya anapokuwa anazungumza au inawezekana(sina uhakika) anatumiwa na mataifa ya...
Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei,
Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it.
Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha...
Tundu Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 na alisoma shule ya msingi Mahambe, Singida. Katika miaka yake yote saba shuleni hapo, Lissu hakukubali hata mara moja kuamka alfajiri saa 11 kuwahi namba na daima aligomea kulima mashamba ya walimu, kuwachotea maji na kazi za namna hiyo kwani kwake...
Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.
Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata...
Silvester Mwakitalu.
Sidhani kama kesi zilizofunguliwa dhidi ya Tundu Lissu zilipata baraka zako za kitaalam kabla ya kuwasilishwa Mahakamani. Nasema haya kwa sababu nakujua vizuri. Wewe ni mtu muungwana na mlokole sana.
Leo napenda kukushauri, kwa namna Shahidi wako wa kwanza alivyoanza...
Wanabodi
Hili ni Bandiko la Voices from within,hivyo naomba kulianza kwa disclaimer
Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweli, achilia hizi
mamlaka za kuja na...
Salaam, Shalom!
Nimesikia nabii Tundu Lissu akilalamika kupokwa haki yake ya kuabudu, hii SI kweli.
Agano la kale, watu iliwabidi kusafiri Hadi Yerusalemu kwenda kuabudu, Agano jipya mambo yamebadilika. Mungu anaabudiwa Katika njia illiyoboreshwa zaidi.
Wamwabuduo halisi, imewapasa...
Tunaweza kutofautiana kimtazamo, lakini hatuwezi kubishania ukweli wa wazi.
Kama kuna zawadi ya kipekee kabisa ya mtu wa kutupigania na kushinda kwenye siasa, sheria, haki na maendeleo ambayo watanzania tulipewa na mwenyezi Mungu katika miaka 60 tangu kuundwa kwa taifa la Tanzania (Tanganyika)...
Je wafungwa wasio na hadhi ya kitaifa wanatendewaje huki jela?
Ikiwa public figure kama Lissu anatendewa namna hii, je wanyonge wasio na mbele wala nyuma?
Dola lazima ijue, LISSU ni Mpinzani kwelikweli yaan Mpinzani kwelikweli , LISSU sio Dalali Mbowe , huyu jamaa ni mwingine kabisa, na jinsi navyomuona, LISSU ni MTU mwenye Nguvu Fulani ya uungu Ndani yake !!.
Nilitegemea Kwa mwingine, Alie liee yaan aseme 'Sasa Mh Hakimu, nalala sehem mbaya...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewekwa Haki kwa Watanzania wote kuwa na uhuru wa kuabudu na kufanya Ibada.
Tanzania pamoja na kutokuwa na dini ila Wananchi wake wamepewa Haki ya kuabudu na kufanya Ibada na Sheria Kuu ya Nchi ambayo ni Katiba.
Sio hivyo ili kuweka msisitizo wa...
Afisa Polisi, aliyefika kutoa ushahidi upande wa Jamhuri katika kesi ya uchapishaji wa taarifa za uongo mtandaoni inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu, ameeleza sababu za kuipakua video ya Lissu aliyokuwa akiizungumza.
Fuatilia hapa: Shauri la jinai namba 8606/2025 Jamhuri vs...
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.
Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.
Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.
Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia, waandishi wa habari waliokuwepo walitakiwa kutoka nje ya ukumbi ili wasipige picha wakati Lissu akiingia...
https://youtu.be/ZbNLPqfSiQ8
Wakuu
Kesi ya uchochezi na kuchapisha taarifa za uongo inayomkabili Mwenyekiti wa chadema Tundu Lissu inaendelea muda huu.
Awali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu aliiomba mahakama kumpa nafasi ya nusu saa kuweza kujadiliana na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu amelalamika kunyimwa haki ya kuabudu kwa takribani siku 68 tangu alipokamatwa na kupelekwa gerezani.
Lissu ametoa taarifa hiyo siku ya Jumatatu Juni 16, 2025 alipopewa nafasi ya kuzungumza katika Mahakama ya Hakimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.