Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha...
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi amefunguka katika mahojiano na Shamba fm kupitia kipindi cha Amka na Shamba.
"Tumegundua wazi watu wote waliopewa kesi za uhaini walikuja kuwa Marais. I swear to God mimi ni mkristo Tundu Lissu atakuja...
Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba, amesema kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ataendelea kuwa hivyo hadi atakapotoa taarifa rasmi ya kuondoka. Kauli hii ameitoa leo, Aprili 15, 2025, nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na...
Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
"Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa sababu gani. Ni kwa sababu hana watu sahihi wa kumshauri katika mambo ya ujenzi wa chama," Makamu...
Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu.
"Taarifa za hivi punde serikali ya kupitia jeshi la polisi kanda maalumu Dar es Salaam imemkamata Helbeth Mlelwa mkazi...
Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa.
Mifano:
1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete alitumia kampeni ya nguvu kuwa tahadharisha watu kuwa ni bora kumchagua urais Dr Slaa kuliko kumpa...
Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)
Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki...
Habari!
Mtu yeyote anayeinadi bidhaa yake either hiyo bidhaa si bora au ina kasoro au uhitaji wake katika jamii yake ni mdogo.
Sina haja ya kujinadi kuwa Mimi ni nani. Kama bidhaa mbele za Mungu najijua Mimi ni bidhaa ya aina gani ndani ya Tanzania hii na ulimwengu.
Ninatoa siku 7 tu kuanzia...
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.
👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".
👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani...
Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo.
Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao.
Mimi Lord...
Tanzania kwa mfano CCM ni chama chenye misingi na mfumo mkongwe hivyo kuondoka kwake madarakani ni hadi kizazi cha akina Jr kipite waingie akina X Musk
Siasa za africa ni maigizo matupu ila uongozi wa Chadema wa sasa unataka kujitoa ufahamu na kujifanya wako serious
Nashauri Watanzania...
Oneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”.
Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza kwenye uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA , hapa wakadhani wameshinda.
Lissu akagombea Uenyekiti, CCM...
Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu.
Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza kutekelezwa mwaka huu. Wanajisahau sana, kazi kusifia tu
===
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mhe...
https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg
➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...!
➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya...
Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu.
Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa.
Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi.
Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.