tundu lissu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Miujiza Kesi ya Lissu haina mwisho, walilazimisha kesi iwe mtandaoni watu wasijae Mahakamani, leo wamegeuza, Lissu kakubali bado wanasema haitoshi

    Jaji wa mahakama Kuu, Jaji Mtengwa amekubali Watoa ushahidi dhidi ya Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu walinde faragha na wasitambulike kwa usalama wao. Maamuzi ya mahakama kuhusu jambo hilo sehemu inasema" There should be no diseemination of information that can lead to...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Tundu Lissu kutaka kujadili maamuzi ya mahakama kuu akiwa mahakama ya mwanzo leo

    Mimi sijasomea sheria japo nimeshangaa kuona wakili msomi akihangaika kutaka kutafsiri maamuzi ya mahakama kuu akiwa kwenye mahakama ya mwanzo. Kama alishindwa kuhoji maana ya maamuzi ya mahakama kuu kuhusu hukumu yaje ya kutaka mashahidi wasionekane akiwa kule na akaangukia pua iweje aje...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Naomba hili kwasababu tu niko Gerezani, Gerezani sio mahali pazuri. Angalizo - usimuamini mwanasiasa kirahisi

    Ndugu watanzania, Lissu alipokuwa mwenyekiti wa chadema alitamba kwamba yeye atakuwa wa kwanza kwenda gerezani na akahamasisha vijana wavunje sheria. Leo amekaa kidogo tu gerezani amekiri kwamba gerezani sio mahali pazuri. Namsihi akitoka gerezani asichochee watoto wa wenzake kufanya uhalifu...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lissu anategemea 'public sympathy' na dhana ya kuwa 'anaonewa' badala ya kutumia sheria kujinasua aliponaswa

    Tayari ameshaanza kuona dhahiri shahiri, athari za mizaha, kutafuta tension kizimbani, kuja mahakamani kwa matumaini na matarajio hewa na ujuaji mwingi usio na faida kwake na kwa wafuasi wake na ambao unampotezea muda mwingi zaidi kusota mahakamani na korokoroni daily, huku giza totoro likitanda...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Septemba 7 liandaliwe Tamasha la 4R za Mama awamu ya Pili. Tundu Lissu aachiwe kama sehemu ya uzinduzi

    Bado tunaweka Mambo Sawa! Tunajua 4R zilishafeli! Lakini kujikwaa sio kuanguka. Muda wa kuonyeshana nani mkubwa umeshaisha. Tumeshaona Mkubwa ni nani. Sasa Watibeli tunasema ni muda wa mkubwa na mdogo kuwa kitu kimoja. Masuala ya kutunishiana muda wake umeisha. Tunajua Mungu ndiye Mkubwa...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Rais Samia, anamuogopa Lissu, akosoa hatua ya kuzuia kesi kurushwa Live

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 BAWACHA wakifanya maombi nje ya mahakama ya Kisutu baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Agosti 18

    Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Wafanyabiashara zamani waliichangia CCM kisirisiri kwa hofu ya kashfa zao kuibuliwa Bungeni

    Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao. ---- CCM...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama sio uonevu wa makusudi, Lissu peke yake anawezaje kupanga uhaini wa kupindua serikali? Wahaini wengine walioshirikiana na Lissu wako wapi?

    Unajua serikali yetu hii na chama chake tawala mara nyingine ifikie mahali ione aibu kutumia njia za kimabavu kuonea watu. Ukitaka kuonea watu, basi fanya kwa namna ambayo watu watakuona una akili basi, sio kama mlevi wa pombe kali. Hivi umewahi kusikia duniani mtu mmoja peke yake anapanga...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Sasa ile hofu yangu inatimia, kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo inafanyika gizani ili watu wasijue

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwa Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo iliyofunguliwa na Jamuhuri dhidi ya Lissu Fuatilia LIVE - GE2025 - Kesi ya uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu inaunguruma Kisutu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mvutano mkali wazuka kati ya Polisi na Mwandishi wa Habari Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Mvutano mkali wazuka kati ya Jeshi la Polisi na mwandishi wa habari asubuhi hii Kisutu, kabla ya kuanza kwa usikilizaji wa kesi ya uhaini Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inayomkabili Mwenyekiti wa Chama, Tundu Lissu. Fuatilia mwenendo wa Kesi hapa > Kesi ya Uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Ni lini Mbowe alienda Gerezani kumona Tundu Lissu?

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anahoji ukimya wa mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kwa kusema ni lini alienda Gerezani kumona mwanafunzi wake wa siasa Tundu Lissu?
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bila Tundu Lissu Kuachiliwa na CHADEMA Kuruhusiwa, uhalali wa Rais Samia Suluhu utahojiwa

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni kweli. Rais Samia anaweza kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 tena kwa kishindo kweli kweli. Ni kweli. Mamilioni ya wanachama, mashabikiki na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wataenda kutiki kwenye sanduku la kura na kumpa kura Rais na kuandika historia ya...
  18. Noel france

    JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA mna mpango gani mbona kama siwaelewi? Mnawezaje kuendelea kumuachia Mwenyekiti chini ya mafisi wakati mna jeshi kubwa?

    Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia. Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia sisi wananchi tuamue cha kufanya.
  19. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Zijue Star Chamber Courts: Mahakama za siri na mantiki zake kisiasa dhidi ya Tundu Lissu

    1. Utangulizi: Maana ya Star Chamber Courts Star Chamber Courts zilikuwa ni aina ya mahakama za kifalme zilizokuwepo England kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17. Mahakama hizi zilikuwa na utaratibu wa kusikiliza mashauri ya kipekee kwa siri (closed-door trials), hasa yale yaliyohusu masuala ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Humphrey Polepole, muda wa kufanya Reform bado upo na Tundu Lissu aachiewe

    Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake. Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama...
Back
Top Bottom