tundu lissu

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP. Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Polepole, elewa Tundu Lissu hapiganii Haki ya KUWA huru akalale na mkewe, urekebisha kauli zako lasivyo usimtaje, pambana na genge la wahuni wako

    Ukiwa unaitaka imwachie akakae na mkewe, nataka kukujulisha Polepole yakuwa Tundu Lissu hapiganii Haki ya KUWA huru akakae mkewe yeye anapigania awe huru tuingie BARABARANI tukaitoe CCM madarakani.over Ukome kumtamka, au ukimtamka mtamke kwa adabu
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Lissu alipokuwa anaongelea kuhusu mikataba ya madini iliyosainiwa na Kikwete kabla ya kuwa Rais

    Wakuu, Hii hapa video kipindi Lissu alipokuwa anaongelea kuhusu mikataba ya madini ambayo Kikwete akiwa Waziri alisaini kabla hajawa Rais akisema anapaswa kuwajibika kwenye mikataba hiyo kwani aliisani kipindi ambacho siyo Rais, hivyo anaweza kushatakiwa kwakuwa hakuwa na kinga ya Urais...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

    Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mpinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi Tundu Lissu yupo jela

    Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao. Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere katika kesi ya uhaini ya Tundu Lissu apiga U-TURN, amtaka Lissu akubali maridhiano ya Mbowe style!

    "....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Godless Lema: Nilikuwa nadhani namjua Tundu Lissu, kumbe HAPANA, nilikuwa sijamjua vizuri. Sasa nimemjua huyu jamaa

    "....Kuna watu ambao historia huwaita kwa jina la pekee, sio kwa mali walizokuwa nazo, sio kwa nguvu za kimamlaka walizowahi kuzishikilia, bali ni kwa misimamo thabiti isiyotikisika mbele na katikati ya dhoruba na misukosuko..... Tundu Lissu ni mmoja wao. Nilipodhani kuwa nimemjua, sasa ndo...
  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kwenye siasa za ukombozi, kukamatwa na kushitakiwa mahakamani ni kuvikwa Taji la dhahabu

    The man knows what he is doing. They are dancing within his riddims.
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole : Tundu Lissu anastahili kuwa nyumbani kwa mkewe na familia yake bila masharti yoyote

    Wakuu Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametoa kauli nzito akihimiza mabadiliko ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwepo kwa mchakato wa wazi wa kupata wagombea, na kuhimiza mazingira ya haki kwa vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Na Emily Mwakilembe Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni Binadamu wa kawaida...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Unajua waliopanga na waliompiga risasi Tundu Lissu wako wapi?Hata hawa wanaotaka anywongwe yatawakuta tu

    Ogopa sana mtu anayesimama na ukweli tena kwa ajili ya watu wake Mungu humpenda na Kumlinda Tundu Lissu anapigania haki juu ya Watanzania wote,anataka tuwapate Viongozi wa kweli watakaopatikana kwa kura za wananchi ambao watalinda rasilimali zetu siyo hawa wanaopita kwa rushwa na vimemo amabo...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

    Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango. Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Alute Lissu (kaka yake Lissu) afafanua kwa urefu mashahidi watakaoitwa kuthibitisha uhaini wa mdogo wake

    https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse Mashahidi hao watatu ni: =============================================== "DEATH ROW DIARIES” Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Video Tbt: Sugu akiwa bungeni akieleza sakata la wabunge upinzani (Tundu Lissu) kupigwa risasi kwa sababu ya hoja zao bungeni

    Wakuu, Nimekutana na hii video ya zamani Mbunge wa CHADEMA Sugu akieleza kile kilichotokea kwa Mbunge mwenzao Tundu Lissu kupigwa risasi akidai wakileta hoja wanatishiwa kupigwa risasi
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Damu ya Tundu Lissu kuleta mabadiliko makubwa hapa Tanganyika

    Kila mtu anajua alishamwaga damu kwa kupigwa risasi zaidi ya 30. Leo hii kuna mpango anyongwe ... Damu ya Tundu Lissu italeta katiba mpya, italeta uhuru wa kisiasa na mabadiliko makubwa
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Wakuu, Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata === "Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe kwenye Kesi ya Ugaidi alitetewa na Mawakili karibia 400 ila Tundu Lisu anajitetea Mwenyewe, Chadema ina Hazina ya Weledi!

    Kichwa cha Habari ndio Habari yenyewe Mawakili 400 hadi Bingwa kujitetea mwenyewe kama Mwana wa Adam mbele ya Pilato Ila Chadema 🐼
  19. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu itumike kutufundisha kuwa Amani ya Taifa letu haichezewi, waasisi wa Taifa letu wameturithisha amani tuitunze na kuilinda

    Ndugu Watanzania wenzangu, linapokuja swala la Amani ya Taifa letu tusichukulie poa, tuwakemee watu wote wenye vimelea vya kuleta vurugu nchini mwetu, hii amani tuliyo ni utajiri tosha, tuepuke upotoshaji. Waasisi wetu walituachia amani, tuendelee kuilinda kwa uzalendo mkubwa, navipongeza...
  20. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

    Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo: 1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya. 2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi. 3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka. Fanya mambo haya matatu...
Back
Top Bottom