Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo Agosti 18, 2025 ambapo Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga anatarajia kutoa amri kuhusu ombi na pingamizi la urushaji wa moja kwa moja wa mwenendo wa...
GT
Pengine watu huwa mnajiuliza ni kitu gani huwa kinalia kama funguo wakati lisu anajitetea mahakamani pale anapogonga meza.
Basi leo nawanyosha ni YESU mfufuka aliyewakomboa watu kwa damu yake katika msalaba mtakatifu na kupitia yeye dhambi zetu zitasemehewa.
Mimi naamini kuwa Tundu Lissu amebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na imani hiyo, naamini pia kwamba ikiwa tutamwacha Tundu Lissu aendelee kupambana yeye mwenyewe kana kwamba anatafuta ukombozi wa familia yake tu, siku zinakuja Mungu atatupeleka utumwani.
Utumwa huo...
Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo...
MTU anaweza kua ana Elimu Kubwa ,ila Sauti yake, na jinsi anavyoongea, anakoswa mvuto , ushawishi kwa Wanaomsikiliza.
Kwa mfano.
SIGRADA huyu alohamia CHAUMMA, huyu Sauti yake ukimsikiliza ni kelele tupu ,Haina mvuto,Hana ushawishi wa kukufanya uendelee kumsikiliza.
ROSE MAYAMBA , huyu...
Champezi Hassan Mwakinyo
Umegusia jambo muhimu sana katika harakati; Tundu A.M Lissu kujitetea Mahakamani katika mashtaka ya uhaini, wakati huo;
Tundu Lissu anafundisha jumuiya yote kuanzia Mahakama, Wanasheria, watazamaji jinsi ambavyo sheria inaelekeza.
Nelson Mandela alitumia dakika 180...
Lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja. Nasema hivi; natamani kuona siku moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani, anakunywa juisi Ikulu na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye yuko gerezani akishtakiwa kwa Kesi ya Uhaini na Uchochezi.
Hili halitakuwa jambo...
The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest
The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his arrest.
In 2011, the Government of Tanzania entered into a Public–Private Partnership (PPP) with...
Minara hii iwekwe kwenye bustani za kitaifa. Huko Mwanza, Dodoma, Dar na Arusha.
Anachopigania Lissu sio kwa ajili ya tumbo lake ni kwa manufaa ya taifa zima la Tanganyika
Friends and Our Enemies,
Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...
Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.
Hii Nchi inaongozwa kwa katiba...
"Serikali kutumia mamlaka ya DPP kifungu namba 91 sheria ya mwenendo wa wa makosa ya jinai iangalie namba ya kumuachilia Lissu kwaajili ya kustablaizi nchi na wananchi, na usifikiri Lissu anaihusu CHADEMA hata mimi ananihusu "Askofu Gwajima.
Askofu Gwajima amehoji:
"Je kuna namna ya kutawala bila kupigiwa kura na watu?, Je, kuna naman aya kuignore hizi hoja zote? Tunategemea nini?, haileti picha nzuri wala afya kwa nchi na chama kwa mfano Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani"
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si...
Ukweli, sisi unaotupigania hatujui tunataka nini; wengi wetu ni keyboard warriors, tunahamasishana mitandaoni. Lakini, on the ground, wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu. Tunakukumbuka siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na...
Wasomaji jibuni swali
Huyu jamaa atakuwa na mazingira Gani?
ENDAPO Tundu Antipusi Mugwai Lissu atakuwa Rais?
Sijui kwa Nini ila CCM imepoteza dira za watanzania wengi
Jamaa kweli analipwa poa, ana mlinzi poa,
"......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Jaji wa mahakama Kuu, Jaji Mtengwa amekubali Watoa ushahidi dhidi ya Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu walinde faragha na wasitambulike kwa usalama wao.
Maamuzi ya mahakama kuhusu jambo hilo sehemu inasema" There should be no diseemination of information that can lead to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.