tundu lissu

  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 MWABUKUSI: Kesi ya uhaini ya Lissu iwe LIVE Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ametoa wito kwa Mahakama kuona namna ya kurejesha matangazo mubashara ya mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ili kutoa nafasi kwa umma kufuatilia kile kinachoendelea Mahakamani...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Rais Samia aliniambia suala la Lissu watalishughulikia bila kuingilia utaratibu wa mahakama

    Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia mambo mbalimbali aliyoyawasilisha kwake alipozungumza nae Ikulu Dodoma. Akijibu swali kuhusu majibu ya Rais Samia kama...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwasili mahakamani kwa ulinzi mkali

    Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kuona jinsi msafara uliomleta Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani hapo mapema leo, Jumatano Septemba 10.2025 Lissu ambaye amefikishwa Mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais wa TLS Boniface Mwabukusi afika Mahakamani Kusikiliza Kesi ya Tundu Lissu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025 kusikiliza mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu Kesi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Septemba 10, 2025, Jamhuri kujibu mapingamizi

    Kesi inayomkabili Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea tena leo Septemba 10, 2025, ikiwa ni siku ya Tatu mfululizo, ambapo upande wa Jamhuri utaendelea kujibu mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa ambaye anajitetea mwenyewe. Lissu aliweka mapingamizi kiwa Mahakama Kuu aina mamlaka ya kusikiliza...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu anaandika historia mpya ya Tanzania hasusani Tanganyika

    Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa. Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 9, 2025

    Utetezi wa Tundu Lissu kwenye kesi yake ya Uhaini, leo Septemba 9, 2025 === Leo Septemba 9, 2025 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu afikishwa tena Mahakama Kuu leo Septemba 9, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili. Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nshala: Lissu awasilisha mapingamizi mawili makuu, kuna madai nyaraka zimeghushiwa

    Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Rugemeleza Nshala amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amewasilisha mapingamizi mawili Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ikiwemo kupinga mwenendo wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
  10. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha...
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Najitetea mwenyewe sababu kesi hii ni Mtihani mkubwa kwa mfumo wetu wa kisheria

    Anaanza Mh. Lissu kusema anasema nawashukuru Majaji kwa kunipatia Mawakili. Pamoja na kwamba mimi sikumuomba na simfahamu wakili Neema Saruni alikuja mwenyewe kuniona kwenye gereza la Ukonga alijitambulisha na kuniambia yeye ndio amepewa hilo jukumu. Nilifurahi kwa yeye kufanya hivyo...
  12. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu amkataa Pro Bono aliyepatiwa na Mahakama Kuu, aamua kuendelea kujitetea mwenyewe

    Mahakama Kuu imempatia wakili (Pro Bono) Tundu Lissu, ambaye alikwenda gerezani kuzungumza naye. TAL amemkataa wakili huyo akisema anataka kujitetea mwenyewe kwa kuwa maneno yanayotajwa kuwa ni uhaini aliyasema mwenyewe. Hata hivyo, wapo mawakili zaidi ya 30 tayari kumtetea.
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar: Vibe la Tundu Lissu baada ya kuingia chumba cha Mahakama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 amefikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH).
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu afikishwa Mahakama Kuu kwa mara ya kwanza leo Septemba 8, 2025 kujibu kesi ya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 anafikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH). Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa...
  15. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya Leo , sept 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Tundu Lissu yeye na familia nzima ya CHADEMA

    Leo September 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Lissu yeye na familia yake pamoja na CHADEMA.
  16. O

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asikae gerezani bure

    Habari zenu mabibi na mabwana. Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki. Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kupigania haki na mabadiliko katika taifa hili. Nia ya kuandika ujumbe huu ni kuwaomba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea. tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !! Tunaingia stage mpya...
  18. ras jeff kapita

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu is a legend

    Hasalaam aleku. Nimeona nami nitie neno kidogo kwa mahitaji ya wakati. Hapana sili ya kwamba Tundu Lissu is a legend. Tunaweza kukataa kwa sababu za uchawa na vitu kama vile. But in reality Lissu ni mtu hatari sana in a positive way Thamani ya Tundu Lissu itaweza kuonekana baada ya miaka 50...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu kusikilizwa Mahakama Kuu, Septemba 8, 2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chma cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa, Tundu Lissu, imepangwa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Septemba 8, 2025 katika hatua ya kusoma hoja za awali. Taarifa hiyo, iliyotolewa na Wakili Gaston Shundo Garubindi...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bila kuondolewa, Kuanzia 2026 Ajira zisingekuwepo, Watumishi wangeishi kitumwa, Tozo zingezidi , Utekaji na Mauaji vingekithiri , Nchi ingefungwa

    Masikini wangezidi kua Masikini, Matajiri wangezidi kua Matajiri Shughuli za Kisiasa zingepigwa Marufuku baada ya Uhapisho wake . Rasilimali za Nchi zingesombwa Kwa Kasi ya Hypersonic . Makanisa yangefungiwa zaidi . Utekaji na Mauaji, Hapa ndo uspime, kuanzia 2026 tungeshuhudia Nawaambia...
Back
Top Bottom