Mvutano mkali wazuka kati ya Jeshi la Polisi na mwandishi wa habari asubuhi hii Kisutu, kabla ya kuanza kwa usikilizaji wa kesi ya uhaini Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inayomkabili Mwenyekiti wa Chama, Tundu Lissu.
Fuatilia mwenendo wa Kesi hapa > Kesi ya Uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu...
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anahoji ukimya wa mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kwa kusema ni lini alienda Gerezani kumona mwanafunzi wake wa siasa Tundu Lissu?
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri.
Katika mapingamizi hayo, upande wa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli. Rais Samia anaweza kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 tena kwa kishindo kweli kweli. Ni kweli. Mamilioni ya wanachama, mashabikiki na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wataenda kutiki kwenye sanduku la kura na kumpa kura Rais na kuandika historia ya...
Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia.
Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia sisi wananchi tuamue cha kufanya.
1. Utangulizi: Maana ya Star Chamber Courts
Star Chamber Courts zilikuwa ni aina ya mahakama za kifalme zilizokuwepo England kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17. Mahakama hizi zilikuwa na utaratibu wa kusikiliza mashauri ya kipekee kwa siri (closed-door trials), hasa yale yaliyohusu masuala ya...
Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.
Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama...
Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache ukiwemo wewe, lakini ukimuachie huru Lissu tutakuwa na uhalali wa mjadala wa taifa, lakini mjadala auwezi kufanikiwa kama kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ayupo. Amesema Polepole
Na Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza
SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu ! Tumepigwa Wote.
Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua na umma...
Ndugu zangu Viongozi mliopewa dhamana ni vyema mtumike huku mkijua kuna kifo muda wowote, na kifo hakichagui mtawala na asiye mtawala.
Tambo na maneno ya shombo alizokuwa akimtolea na kumtendea Tundu Lissu, Ndugai asingejua kama anaweza kutangulia mbele ya haki na kumuacha Tundu Lissu mwenye...
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya...
Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA
Wakuu
Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.
Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.
Yaani ni kama...
Alikoswa koswa kwa Risasi....Sasa tunataka akoswe koswe na Kitanzi.....
Kuficha mashahidi ni utaratibu wa nadra unaoruhusiwa tu pale ambapo mazingira ya kesi yanaonyesha wazi uwepo wa tishio la moja kwa moja kwa usalama wa shahidi au chanzo cha taarifa (source) na hata hivyo, chanzo hicho...
taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka.
Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki.
Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya...
Kwa maono ya imani yangu na niliyo ona wakati nasali
Lissu hata yeye hajui lakini anatumika na Mungu narudia hata yeye hajui hili.
Sasa wakati wa Magufuli msije kufikiria alikuwa kichaa kukataa dawa za covid, kutukana na kukebehi ma Padre kwa kutaka watu wajihadhari na covid. Yale yalikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.