Habari za Wakati huu;
Kuna mambo ukiyatazama kwa mbali na hata kwa ukaribu huwezi kuelewa kabisa.
1. La kwanza ni hili la Tundu Lisu.Tundu Lisu amewekwa Gerezani takribani Mwaka mmoja.Amewekwa Mahabusu.Kesi yake inaonekana kabisa ni kesi isiyo na mashiko wala msingi.Ni kesi ya kubumba.Swali ni...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili Kesi Yenye Na. 19605/2025 inayosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu...
Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui?
Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima?
Hivi watu wakishangilia vifo vya watu...
Tanzania ilijengwa juu ya misingi ya haki, usawa, na heshima ya uhai wa binadamu. Lakini ni lazima tujiulize kwa ujasiri: Je, bado misingi hiyo inaheshimiwa? Je, Taifa linaweza kusonga mbele wakati haki inapokanyagwa, sauti kunyamazishwa, na uhai kudharauliwa?
Leo, suala la kuachiwa huru kwa...
Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria.
Lissu alikamatwa...
Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Fuatilia mwenendo wa kesi...
Kesi ya uhaini Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu inaendelea tena leo, Alhamisi Februari 12.2026 kama ilivyo ada mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru.
Jana (Jumatano, Februari 11.2026)...
Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa siri. Lissu alidai mahakamani kuwa, hata kama sheria ya ulinzi wa mashahidi ingekuwa na uhalali wa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Februari 18, 2026, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Katika kesi hiyo namba 19605/2025...
Tarehe 11/02/2026 Chadema itakuwa na Kesi 3 Mahakama kuu.
Kesho tarehe 11/02/2026 Mahakama kuu, Kanda ya Dar es salaam inatajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu, kufuatia pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya mashahidi wa kificho akitaka...
Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam.
Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam.
Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.