tundu lissu

  1. M

    GE2025 Gwajima: Tundu Lissu ana maneno makali ila Hayati Rais Magufuli alimvumilia 2020 na akashinda uchaguzi

    Tundu Lissu ana maneno makali ila Hayati Rais Magufuli alimvumilia 2020 na akashinda uchaguzi
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Askofu Gwajima: Serikali kutumia mamlaka ya DPP kifungu namba 91 iangalie namna ya kumuachilia Lissu

    "Serikali kutumia mamlaka ya DPP kifungu namba 91 sheria ya mwenendo wa wa makosa ya jinai iangalie namba ya kumuachilia Lissu kwaajili ya kustablaizi nchi na wananchi, na usifikiri Lissu anaihusu CHADEMA hata mimi ananihusu "Askofu Gwajima.
  3. M

    GE2025 Askofu Gwajima: Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani haileti picha nzuri

    Askofu Gwajima amehoji: "Je kuna namna ya kutawala bila kupigiwa kura na watu?, Je, kuna naman aya kuignore hizi hoja zote? Tunategemea nini?, haileti picha nzuri wala afya kwa nchi na chama kwa mfano Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani" Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si...
  4. mwehu ndama

    GE2025 Tundu Lissu tafadhali acha kuteseka kwa ajili yetu sisi wajinga

    Ukweli, sisi unaotupigania hatujui tunataka nini; wengi wetu ni keyboard warriors, tunahamasishana mitandaoni. Lakini, on the ground, wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu. Tunakukumbuka siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na...
  5. Sifi Leo

    Najiuliza huyu mwanasheria wa SERIKALI mkuu, Tundu Lissu akiwa Rais yeye atakuwa mazingira Gani?

    Wasomaji jibuni swali Huyu jamaa atakuwa na mazingira Gani? ENDAPO Tundu Antipusi Mugwai Lissu atakuwa Rais? Sijui kwa Nini ila CCM imepoteza dira za watanzania wengi Jamaa kweli analipwa poa, ana mlinzi poa,
  6. Idugunde

    Picha: Shujaa aliyetayari kunyongwa kwa ajili ya taifa lake

    Ndio maana anahimiza kesi yake isikilizwe haraka.Ili damu yake imwagike kwa ajili ya taifa lake
  7. The Palm Beach

    Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    "......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
  8. Waufukweni

    GE2025 Mpina: Nampongeza Lissu kwa Uzalendo wake, Mungu hatomuacha, aikubali 'No Reforms No Election'

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
  9. B

    Miujiza Kesi ya Lissu haina mwisho, walilazimisha kesi iwe mtandaoni watu wasijae Mahakamani, leo wamegeuza, Lissu kakubali bado wanasema haitoshi

    Jaji wa mahakama Kuu, Jaji Mtengwa amekubali Watoa ushahidi dhidi ya Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu walinde faragha na wasitambulike kwa usalama wao. Maamuzi ya mahakama kuhusu jambo hilo sehemu inasema" There should be no diseemination of information that can lead to...
  10. funaku

    Ni aibu kwa Tundu Lissu kutaka kujadili maamuzi ya mahakama kuu akiwa mahakama ya mwanzo leo

    Mimi sijasomea sheria japo nimeshangaa kuona wakili msomi akihangaika kutaka kutafsiri maamuzi ya mahakama kuu akiwa kwenye mahakama ya mwanzo. Kama alishindwa kuhoji maana ya maamuzi ya mahakama kuu kuhusu hukumu yaje ya kutaka mashahidi wasionekane akiwa kule na akaangukia pua iweje aje...
  11. chiembe

    GE2025 Lissu: Naomba hili kwasababu tu niko Gerezani, Gerezani sio mahali pazuri. Angalizo - usimuamini mwanasiasa kirahisi

    Ndugu watanzania, Lissu alipokuwa mwenyekiti wa chadema alitamba kwamba yeye atakuwa wa kwanza kwenda gerezani na akahamasisha vijana wavunje sheria. Leo amekaa kidogo tu gerezani amekiri kwamba gerezani sio mahali pazuri. Namsihi akitoka gerezani asichochee watoto wa wenzake kufanya uhalifu...
  12. Tlaatlaah

    Lissu anategemea 'public sympathy' na dhana ya kuwa 'anaonewa' badala ya kutumia sheria kujinasua aliponaswa

    Tayari ameshaanza kuona dhahiri shahiri, athari za mizaha, kutafuta tension kizimbani, kuja mahakamani kwa matumaini na matarajio hewa na ujuaji mwingi usio na faida kwake na kwa wafuasi wake na ambao unampotezea muda mwingi zaidi kusota mahakamani na korokoroni daily, huku giza totoro likitanda...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Septemba 7 liandaliwe Tamasha la 4R za Mama awamu ya Pili. Tundu Lissu aachiwe kama sehemu ya uzinduzi

    Bado tunaweka Mambo Sawa! Tunajua 4R zilishafeli! Lakini kujikwaa sio kuanguka. Muda wa kuonyeshana nani mkubwa umeshaisha. Tumeshaona Mkubwa ni nani. Sasa Watibeli tunasema ni muda wa mkubwa na mdogo kuwa kitu kimoja. Masuala ya kutunishiana muda wake umeisha. Tunajua Mungu ndiye Mkubwa...
  14. DuaZaMama

    GE2025 Heche: Rais Samia, anamuogopa Lissu, akosoa hatua ya kuzuia kesi kurushwa Live

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile...
  15. DuaZaMama

    GE2025 BAWACHA wakifanya maombi nje ya mahakama ya Kisutu baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Agosti 18

    Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
  16. mwanamwana

    GE2025 Zitto: Wafanyabiashara zamani waliichangia CCM kisirisiri kwa hofu ya kashfa zao kuibuliwa Bungeni

    Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao. ---- CCM...
  17. S

    Kama sio uonevu wa makusudi, Lissu peke yake anawezaje kupanga uhaini wa kupindua serikali? Wahaini wengine walioshirikiana na Lissu wako wapi?

    Unajua serikali yetu hii na chama chake tawala mara nyingine ifikie mahali ione aibu kutumia njia za kimabavu kuonea watu. Ukitaka kuonea watu, basi fanya kwa namna ambayo watu watakuona una akili basi, sio kama mlevi wa pombe kali. Hivi umewahi kusikia duniani mtu mmoja peke yake anapanga...
  18. R

    GE2025 Tundu Lissu: Sasa ile hofu yangu inatimia, kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo inafanyika gizani ili watu wasijue

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwa Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo iliyofunguliwa na Jamuhuri dhidi ya Lissu Fuatilia LIVE - GE2025 - Kesi ya uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu inaunguruma Kisutu...
  19. Waufukweni

    GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  20. R

    Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
Back
Top Bottom