tundu lissu

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu kuendelea leo Novemba 10 baada ya kukwamishwa na uchaguzi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu iliyoahirishwa kupisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, inarejea leo Jumatatu, Novemba 10, 2025. Kesi hiyo inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam na jopo la majaji watatu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe

    Salamu kutoka gerezani Ukonga; Tundu Lissu yupo salama, anawasalimia wote na kuwapa pole Kwa mambo mabaya yaliyotokea kuanzia tarehe 29. Amesema CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe. Tusikate tamaa ushindi umekaribia. Tukutane Mahakamani Kesho.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Lissu wa kizalendo wa kusogeza uchaguzi mbele sasa ndiyo mnauelewa. Tusipinge kila kitu

    Ushauri wa Lissu wa kizalendo wa kusogeza uchaguzi mbele sasa ndiyo mnaulewa! tusipinge kila kitu Lissu alitoa ushauri Samia aendelee wakati wa mchakato wa katiba ili twende kwenye uchaguzi tukiwa wamoja. Badala ya kuchukuwa huu ushauri mzuri amekuwa akibezwa na kufunguliwa kesi za uaini...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia angesikiliza rai ya Tundu Lissu kuahirisha uchaguzi ili mageuzi yafanyike angeinusuru nchi na vurugu za sasa hivi

    ..Kichwa cha habari chahusika. ..Raisi alipuuza ushauri wa Tundu Lissu na Chadema katika kila hatua. ..Na kibaya zaidi akamtengenezea fitina, na hila, za kumtesa. ..kosa la Tundu Lissu ni nini? ..Je, ushauri aliotoa Tundu Lissu usingeepusha haya yanayoendelea? ..Sasa mhaini ni Tundu Lissu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM ilipigwa na mshituko mzito January mwaka huu baada ya pandikizi lao muhimu walilokuwa wanalitegemea (Mbowe) kun'golewa CHADEMA

    CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents. Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani. Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Tundu Lissu akiwa Rais wa Tanzania

    Hii siku nitafurahi kwa kulia machozi na ndiyo Tanzania itakapopata uhuru wake wa wa kweli. Mungu akiamua kitu hakuna wa kumpinga imebaki muda tu. Mungu nipe maisha marefu nikalishuhudie hili.
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu atunikiwa tuzo bora ya demokrasia barani africa

    Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atunukiwa tuzo ya Demokrasia Afrika ya Nana-Akufo kutokana na mchango wake wa kupigania demokrasia Tanzania na Afrika

    Leo Jijini Nairobi, Kenya, @dua_africa imemtunukia Mwenyekiti Tundu Lissu tuzo ya Demokrasia Afrika ya Nana-Akufo kutokana na mchango wake madhubuti wa kupigania demokrasia Tanzania na Afrika licha ya kukabiliwa na mazingira magumu na hatari. Tuzo hiyo imetolewa na Rais Mstaafu wa Ghana Mh Nana...
  9. Patriot

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu For Nobel Prize 2026 Tumuunge mkono

    Pamoja na kunusurika ktk jaribio la kifo, pamoja na mateso yote ya viongozi tulionao kwa sasa, na wafuasi wake kufuatiliwa kwa nguvu zote na vyombo vya dola, bado Tundu Lissu anaonesha anapigania haki za watanzania. Labda wengine wanaona kama mpigananji wa CHADEMA, lakini Huyu m-TZ anastahili...
  10. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Maandamano Bila kikomo - Oktoba Tunatoka

    Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿 Na 👇🏿 ujasiri, uthabiti, Uamuzi, kujitolea, kuzingatia, Itikadi, Ustahimilivu, Mwendelezo, Chanya, Umoja, Umoja, Mtazamo wa kawaida Dikteta #Samia_Suluhu hastahili muda wa kujiandaa wala kupata kasi,,,kwa sababu tu alikataa kusikiliza...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

    Wakuu, Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025. Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
  12. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

    Number 3 is a magical number 🔥 Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka #MO29 is a movement 💪🏽
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Polepole ameshasahaulika, Mdude ameshasahaulika hata Lissu akitekwa na kupotezwa kelele zitapigwa kisha naye atasahaulika

    Pole pole ameshasahaulika, Mdude ameshasahaulika, Gwajima ameshasahaulika hata na Lissu akitekwa na kupotezwa kelele zitapigwa kisha naye atasahaulika. Ni neema ya Mungu pekee ndio itatuokoa, maana tunaowategemea watutetee (polisi+wanajeshi) ndio kwaaanza wanaunga mkono haya machafuzi ukijenga...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 24, shahidi wa nne wa jamhuri asubiriwa kwa hamu

    Shahidi wa Tatu (3) wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya amemaliza kutoa ushahidi wake hapo jana Leo, Ijumaa Oktoba 24.2025, kesi hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

    Wakuu, Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema: Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi inayoendelea kwa kuwaweka think tank wao pembeni?

    .
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu apeta tena, pingamizi lingine lakubaliwa, Mahakama yaikataa ripoti ya video ya uhaini

    Kutoka kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Alhamisi Oktoba 23.2025, chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji...
  18. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: MwanaSheria wa Kiwango cha Juu Kisheria na Kifalsafa

    Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kufanya tofauti, kwa vile tatizo ni watanzania wenyewe

    Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra. Hapo bado hatujafikia na si kwa...
Back
Top Bottom