tundu lissu

  1. R

    Muachieni Lissu, sasa inatosha!

    Sasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma! Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
  2. haszu

    GE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, inakuwa ngumu zaidi kwa upinzani kuchukua madaraka

    Kwa sasa siasa na uongozi si kwa ajili ya nchi tena, ni kama ajira au biashara nyingine, Serikali ilio madarakani imeajiri watu wengi ambao ajira zao zinatokana na chama kilicho madarakani, kwa sababu hii, na baada ya kuona kua wanaweza fanya chochote kwenye figisu na hakuna impact, ni ngumu...
  3. M

    Heri maziwa uliyonyonya na tumbo lililokuzaa Tundu Lissu.

    Wanamiliki fedha zote, wanamiliki vyombo vyote, wanamiliki Taasisi zote, wanamiliki mali nyingi lakini bado wanakuogopa. Bado unawatisha na wanatishika. Atukuzwe Mungu mkuu aliyekupa uwezo huo. Mungu aliyeanzisha nia hiyo ya ukombozi wa Nchi hii ndani yako, yeye mwenyewe na akaikamilishe nia...
  4. M

    Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi

    Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi! Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake

    Hamjambo! Lisu anasifika kwa Umahiri katika taaluma yake ya sheria. Hivyo kusema Lisu ana akili za kisheria hutokuwa umekosea. Lisu anapenda ukweli jambo ambalo linamfanya aitwe roporopo na Mahasimu wake au watu ambao anagusa interests zao. Lisu anapenda kupigania Haki, huo inamfanya awe...
  6. Pascal Mayalla

    GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  7. S

    Mtazamo: Wasingeweza kumuachia Tundu Lissu bila Mama kuonekana kakutana na watu fulani waliomuomba amuchie Lissu

    Raisi wa TLS na huyo Kadinali wa Katoliki watakuwa wamempa Mama hii advantage bila wao kujua. Kumuachia Lissu bila kuonekana kuna watu wamemuomba Mama ingekuwa ni fedheha kwa watawala kuwa wamesalimu amri kutokana na pressure iliyopo na zaid Lissu hakusalimu amri Subirini kuona Lissu anaachiwa...
  8. Stuxnet

    BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

    Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia" === Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP. Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
  10. Sifi Leo

    Polepole, elewa Tundu Lissu hapiganii Haki ya KUWA huru akalale na mkewe, urekebisha kauli zako lasivyo usimtaje, pambana na genge la wahuni wako

    Ukiwa unaitaka imwachie akakae na mkewe, nataka kukujulisha Polepole yakuwa Tundu Lissu hapiganii Haki ya KUWA huru akakae mkewe yeye anapigania awe huru tuingie BARABARANI tukaitoe CCM madarakani.over Ukome kumtamka, au ukimtamka mtamke kwa adabu
  11. B

    GE2025 Kumbukizi: Lissu alipokuwa anaongelea kuhusu mikataba ya madini iliyosainiwa na Kikwete kabla ya kuwa Rais

    Wakuu, Hii hapa video kipindi Lissu alipokuwa anaongelea kuhusu mikataba ya madini ambayo Kikwete akiwa Waziri alisaini kabla hajawa Rais akisema anapaswa kuwajibika kwenye mikataba hiyo kwani aliisani kipindi ambacho siyo Rais, hivyo anaweza kushatakiwa kwakuwa hakuwa na kinga ya Urais...
  12. BigTall

    Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

    Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
  13. Just Pray

    GE2025 Polepole: Mpinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi Tundu Lissu yupo jela

    Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao. Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
  14. The Palm Beach

    Yericko Nyerere katika kesi ya uhaini ya Tundu Lissu apiga U-TURN, amtaka Lissu akubali maridhiano ya Mbowe style!

    "....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo...
  15. The Palm Beach

    Godless Lema: Nilikuwa nadhani namjua Tundu Lissu, kumbe HAPANA, nilikuwa sijamjua vizuri. Sasa nimemjua huyu jamaa

    "....Kuna watu ambao historia huwaita kwa jina la pekee, sio kwa mali walizokuwa nazo, sio kwa nguvu za kimamlaka walizowahi kuzishikilia, bali ni kwa misimamo thabiti isiyotikisika mbele na katikati ya dhoruba na misukosuko..... Tundu Lissu ni mmoja wao. Nilipodhani kuwa nimemjua, sasa ndo...
  16. Common Folk

    Tundu Lissu: Kwenye siasa za ukombozi, kukamatwa na kushitakiwa mahakamani ni kuvikwa Taji la dhahabu

    The man knows what he is doing. They are dancing within his riddims.
  17. Just Pray

    GE2025 Polepole : Tundu Lissu anastahili kuwa nyumbani kwa mkewe na familia yake bila masharti yoyote

    Wakuu Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametoa kauli nzito akihimiza mabadiliko ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwepo kwa mchakato wa wazi wa kupata wagombea, na kuhimiza mazingira ya haki kwa vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
  18. Mshana Jr

    Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Na Emily Mwakilembe Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni...
  19. Manyanza

    Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni Binadamu wa kawaida...
  20. K

    Unajua waliopanga na waliompiga risasi Tundu Lissu wako wapi?Hata hawa wanaotaka anywongwe yatawakuta tu

    Ogopa sana mtu anayesimama na ukweli tena kwa ajili ya watu wake Mungu humpenda na Kumlinda Tundu Lissu anapigania haki juu ya Watanzania wote,anataka tuwapate Viongozi wa kweli watakaopatikana kwa kura za wananchi ambao watalinda rasilimali zetu siyo hawa wanaopita kwa rushwa na vimemo amabo...
Back
Top Bottom