tundu lissu

  1. GE2020 Uchaguzi: Ikiwa Tundu Lissu atagombea Urais 2020, Majimbo haya Singida yajiandea kuwa CHADEMA

    Asalaam wajumbe wa jukwaa hili! Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
  2. B

    GE2020 Magufuli Vs Bernard Membe Vs Tundu Lissu. Huu uchaguzi sijui utakuwaje

    Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe nao walimpitisha kwa 100% tunaelewa maana yake hii tunaita kwa kingereza Flatering, majibu yao...
  3. Kwa haya matukio mfululizo kumhusu Tundu Lissu, bado wananchi tushindwe kutengua kitendawili ya nani alihusika na kumpiga risasi mjini Dodoma?

    Tundu Lissu ni mzalendo wa Tanzania, ambaye takribani miaka 3 iliyopita, baadhi ya wananchi ambao Polisi wameendelea kutuaminisha watanzania kama ni "watu wasiojulikana" walihusika na tukio baya kabisa lililofanywa na watu hao la kutaka kumwua Tundu Lissu, kwa kumminia risasi mfululizo kwenye...
  4. Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

    Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA. Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea na shughuli zao. Kuna mawili matatu hivi kutoka kwa maofisa Uhamiaji na Usalama. 1. Mgeni huyu...
  5. Tundu Lissu akiagwa Ubelgiji tayari kwa safari ya kurejea nyumbani

  6. Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

    Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu. Mh. Tundu Lissu...
  7. Kamanda Sirro tuhakikishie Usalama wa Raia wema wakati wa mapokezi ya Tundu Lissu

    wana JF, Mikakati ya kumpokea Tundu Lissu imeiva akiwa anarejea kutoka ughaibuni, kwa vile Lissu ni kipenzi cha wengi, hakuna haja ya kuvalia uniform kuonyesha kuwa wewe ni wa chama fulani, bali tunavaa kawaida sana nguo za nyumbani. Kwa vile wenye mapenzi naye ni mchanganyiko wa vyama vyote...
  8. Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  9. GE2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

    Tundu Lissu ndio tumaini pekee la sisi wanyonge kukombolewa. Ni yeye pekee anayeweza kwa mara nyingine tukaamka vitandani asubuhi kwenda kupanga foleni kwa ajili ya kupiga kura kama tulivyofanya 2015. Tulipiga kura 2015 kwa matarajio kuwa mzee Lowassa atasimamia mabadiliko tuliyokuwa...
  10. S

    GE2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

    M/Mkiti wa CHADEMA Taifa (B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on...
  11. R

    GE2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

    Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu. Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais...
  12. GE2020 Tundu Lissu na Lazaro Nyalandu Warejesha fomu za kuomba uteuzi wa kugombea Urais baada kukamilisha kusaka wadhamini

    Hawa hapa Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato . Mungu ibariki Chadema
  13. Tundu Lissu kurejesha fomu ya uteuzi Jumapili baada ya kukamilisha zoezi la kusaka wadhamini

    Bado haijafahamika kama fomu hii itarejeshwa na Yeye mwenyewe ( ya Mungu mengi ) au pengine itarudishwa na wakala wake bwana Jumbe. Tuendelee kutega sikio hapo kesho mchana Makao Makuu ya Chadema . Mungu ibariki Chadema
  14. F

    Kwa wafanyakazi Zanzibar kutakiwa wakampokee Mwinyi kwa wingi. Je, watu watarusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nchini?

    Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je, ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
  15. GE2020 Bernard Kamilius Membe: Nitagombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

    Jana niliombwa na leo nimekubali rasmi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo. Huu ni wakati muafaka kwangu wa kushiriki katika mazungumzo na vyama vingine kama CHADEMA ili tusimamishe "KISIKI CHA MPINGO" kimoja!. ======= WASIFU...
  16. R

    GE2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

    Kama wewe ni mfatiliaji wa siasa za Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikosa kiongozi bora wakuongoza watanzania kwa maslahi ya taifa na wala sio vyama na wanaompa vyeo. Tulipata janga kama taifa baada ya kuongozwa na Mh Rais Magufuli ambaye aliokota...
  17. J

    GE2020 Kama CHADEMA haitampitisha Tundu Lissu kura yangu nitampa Magufuli

    Bila kupepesa macho mtu anaeweza kuleta siasa za ushindani kwa chama tawala mwaka huu na hata lolote kutokea kwenye sanduku la kura ni TL. Nawashauri CHADEMA wisifanye kosa la 2015 la kubadili gia angani kumuacha Dr.Slaa aliekuwa kajipanga sawasawa na wakamteua Lowassa kuwa mgombea wao. Matokeo...
  18. GE2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

    Hali ndio kama mnavyoona ndugu zangu Sina cha kuongeza , wale mnaotaka nyama zaidi endeleeni kula mtori , nyama mtazikuta chini
  19. Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28. Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
  20. CHADEMA/ Tundu Lissu

    CHADEMA, Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu. Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu. Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…