tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Oktoba 28, 2020: Tundu Lissu atalisomba kundi la wasio na maamuzi kwa kishindo

    Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki. Kuna lile kundi linalokata shauri dakika za mwisho. Mara nyingi hawa ni watu wenye shughuli zao, wasomi, wakulima na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

    Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia. Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea! Video: Katoro Geita
  4. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndani ya mwezi mmoja tu Tundu Lissu ameweza kufanya aliyoshindwa Magufuli kwa miaka mitano

    Tunajua kwamba hata Magufuli anaposema "Nitajenga barabara" haimaanishi kwamba yeye ndiye mwenye hela au kwamba atakuwa saiti akijenga. Anatumia vyombo vilivyopo kujenga barabara n.k. Tundu Lissu amefanikiwa kwa ushawishi wake na umahiri mkubwa wa kujenga hoja zinazowafanya waliopo madarakani...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiondoa Wana - CHADEMA na wafuasi wake mwenyewe, Tundu Lissu atapata kura nyingine nyingi kutoka kwa hawa

    Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa. Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

    Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku...
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ameielezea vizuri Sera ya Majimbo kwa mara ya kwanza. Haina ukabila wala ukanda

    Mimi kama wengine, na kama mgombea pinzani anavyopotosha, mwanzoni nilidhani sera ya majimbo ni ya kufanya maeneo ya watu yajitegemee kikanda au kikabila. Kumbe maana yake ni kuwa (1) Rais asihodhi maamuzi yanayohusu maendeleo. (2) Viongozi wote wenye maamuzi muhimu kuhusu maendeleo ya mkoa na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

    Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi. Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Rais Magufuli Mwizi pamoja na MaRais wote waliopita isipokuwa Nyerere. Yeye ni mwana...
  9. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

    Lissu - Kwa kuwa Mgombea Urais wa CCM ameshalegea, naomba sasa nimpe wazo lingine, alitekeleze haraka:- futa hizo sheria kandamizi zilizotungwa chini ya Waziri Mpango, ili kuibia wananchi wetu kwa vitambulisho vya Elfu 20!! ===== Maelfu ya wananchi wa Karagwe wamefurika kwenye viwanja vya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

    Katika lile tulilojua toka mwaka 2017, mkoa wa Kagera una lake jambo juu ya CCM na Rais Magufuli. Ni mkoa ambao ulipata tetemeko, watu wakahitaji faraja kutoka kwa mfariji mkuu wakaishia kuambulia maneno ya kukereketa na kejeli. Wana Kagera walipoomba Chakula wakaambiwa serikali haina shamba...
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amri za Tundu Lissu zinatekelezwa na Rais Magufuli

    Tundu Lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000. Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa". Tundu Lissu alisema vitambulisho vya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba. Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo atakapokanyaga viunga vya mji huo. Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini mwenye ushawishi mkubwa Chief Kalumuna...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Askofu Benson Bagonza afurahia kukutana na Tundu Lissu leo

    Hakika furaha imetoka moyoni. Upendo usiopimika!
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  16. JamiiForums Tanzania Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

    "Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira. globalpublishers Nyie Watoto wa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

    Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Michango kwa Tundu Lissu: Huyu mbeba mizigo Kariakoo amenitoa chozi

    Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfahamu kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli... Sasa Jana kama kawaida niakenda kariakoo (Sijaonekana kwa muda)...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atembelea kaburi la Marehemu Bilago

    Mgombea Urais wa CHADEMA leo ameingia Buyungu na kwenda kwenye kaburi la Hayati Mwl Bilago aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA na kuomba dua ambayo ilikuwa maalum kwa ajili marehemu huyo mpiganaji na kamanda aliyetangulia mbele za haki.
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awasili jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma

    MAPOKEZI YA TUNDU LISU KIBONDO JIMBO MUHAMBWE Takwimu za Haraka : Idadi ya Watu: Huduma za Kijamii: Maendeleo ya Watu : Maendeleo ya Vitu : source : Mwanzo Idadi ya Watu kutokana na sensa ya Mwaka 2012 = 261,331 Idadi ya Kata = 19 Number of Villages = 50 Idadi za Shule ya Msingi = 84 Number...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…