Kesi inayomkabili Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea tena leo Septemba 10, 2025, ikiwa ni siku ya Tatu mfululizo, ambapo upande wa Jamhuri utaendelea kujibu mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa ambaye anajitetea mwenyewe.
Lissu aliweka mapingamizi kiwa Mahakama Kuu aina mamlaka ya kusikiliza...
Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa.
Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
Utetezi wa Tundu Lissu kwenye kesi yake ya Uhaini, leo Septemba 9, 2025
===
Leo Septemba 9, 2025
Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari.
Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya...
Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Rugemeleza Nshala amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amewasilisha mapingamizi mawili Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ikiwemo kupinga mwenendo wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Na. M. M. Mwanakijiji
Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha...
Anaanza Mh. Lissu kusema anasema nawashukuru Majaji kwa kunipatia Mawakili.
Pamoja na kwamba mimi sikumuomba na simfahamu wakili Neema Saruni alikuja mwenyewe kuniona kwenye gereza la Ukonga alijitambulisha na kuniambia yeye ndio amepewa hilo jukumu.
Nilifurahi kwa yeye kufanya hivyo...
Mahakama Kuu imempatia wakili (Pro Bono) Tundu Lissu, ambaye alikwenda gerezani kuzungumza naye. TAL amemkataa wakili huyo akisema anataka kujitetea mwenyewe kwa kuwa maneno yanayotajwa kuwa ni uhaini aliyasema mwenyewe.
Hata hivyo, wapo mawakili zaidi ya 30 tayari kumtetea.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 amefikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH).
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 anafikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH).
Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa...
Habari zenu mabibi na mabwana.
Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki.
Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kupigania haki na mabadiliko katika taifa hili.
Nia ya kuandika ujumbe huu ni kuwaomba...
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya...
Hasalaam aleku.
Nimeona nami nitie neno kidogo kwa mahitaji ya wakati.
Hapana sili ya kwamba Tundu Lissu is a legend. Tunaweza kukataa kwa sababu za uchawa na vitu kama vile. But in reality Lissu ni mtu hatari sana in a positive way
Thamani ya Tundu Lissu itaweza kuonekana baada ya miaka 50...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chma cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa, Tundu Lissu, imepangwa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Septemba 8, 2025 katika hatua ya kusoma hoja za awali.
Taarifa hiyo, iliyotolewa na Wakili Gaston Shundo Garubindi...
Masikini wangezidi kua Masikini, Matajiri wangezidi kua Matajiri
Shughuli za Kisiasa zingepigwa Marufuku baada ya Uhapisho wake .
Rasilimali za Nchi zingesombwa Kwa Kasi ya Hypersonic .
Makanisa yangefungiwa zaidi .
Utekaji na Mauaji, Hapa ndo uspime, kuanzia 2026 tungeshuhudia
Nawaambia...
Tarehe hiyo Imelazimika kupangwa "kinguvu" baada ya kelele za Wadau wa Hapa JF na kwingineko.
Kiukweli hawakutaka kabisa kupanga Tarehe Mwezi huu, Tunataka Lissu any'ongwe kabla ya Samia hajaapishwa, si ni mhaini, mnajibaraguza nini sasa?
Shukrani kwa Wadau wa Dunia nzima waliopambania Jambo...
TUndu Antiphas Lissu: Kipindi cha kampeni 2020, NRNE Ngorongoro nk👇🏻👇🏻👇🏻
https://youtu.be/UjhUlWn9AWw?si=AjaMF-uSY3zahosL
Samia Suluhu Hassan: Katika maeneo tofauti tofauti: Bariadi, Morogoro nk👇🏻👇🏻👇🏻
Kesi Yangu ya Uhalifu wa Uhaini ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania
Na Tundu Lissu
28 Agosti 2025
Uhaini unastahili adhabu ya kifo. Serikali inalenga sio tu kumuua mtu, bali pia kuua wazo: wazo kwamba Watanzania wanastahili uchaguzi huru na wa haki, viongozi wanaowajibika, na nchi...
Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa.
Moja nikubadili uongozi wa juu katika mwaka wa uchaguzi, hata kama sababu zilikuwepo.
Pili, u-one man show wa kiongozi Tundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.