tunahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    Tuliokwama Iran, tunahitaji ndege Ije kutuchukua

    Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
  2. Mhaya

    Tunahitaji Ufunguo mwingine wa Mafaniko, Elimu haifanyi kazi tena

    Zamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life" Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko. Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio...
  3. The Father of All

    Tunahitaji uchaguzi huru au uchunguzi huru?

    Serikali imekuja na gea ya kutaka maridhiano. Je, tunaanzaje wakati walioumiza wenzao ndiyo wamejipa mamlaka ya kusamehe? Nani anamsamehe nani bila kujua nani alifanya nini na kwanini?
  4. R

    Said Miraji: Tunahitaji wabunge wenye uelewa na ufahamu zaidi wa kukosoa hoja

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
  5. Z

    PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

    Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele wa CCM vyuoni tunakukla nanyi. Taarifa iliyopo wanaandaliwa wanafunzi bandia kuingia vyuoni...
  6. emperor

    GE2025 Kwa tuliyoyaona na Hatua zilizochukuliwa na Vyombo vyetu vya Usalama; Tunahitaji Silaha Kujilinda

    Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA? Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu: 1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
  7. Yoda

    Tujitahidi kuboresha biashara ya kitimoto, tunahitaji mapinduzi ya upikaji kitimoto katika nchi

    Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi. Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
  8. Brayan_Jk

    Wafugaji, tunahitaji msaada wenu!😀🙏🏾

    Je, unatumia Fuga App? Tunataka kujua uzoefu wako na jinsi tunaweza kuifanya bora zaidi kwa ajili yako. Jaza dodoso hili kwa dakika 2 tu na tusaidie kukupa huduma bora zaidi. 👉 [Utafiti wa Watumiaji Fuga App Kwa Wafugaji wa Kuku] Shukrani kwa kuwa sehemu ya safari ya Fuga – pamoja tunaleta...
  9. OLS

    Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi Bora

    Mwalimu Nyerere alipokuwa analeta Ujamaa kwa watanzania, aliponda sana masuala ya kuchukua fedha za nje, na moja ye hotuba yake aliwaponda sana wanaotaka mishahara mikubwa kwamba hela tunapata wapi. Na hapa sisemi kwamba nakubaliana na falsafa ya Ujamaa, najaribu kuzungumzia masuala ya fedha...
  10. Kabende Msakila

    Polepole: Tanzania tuna kaya 14,152,803 kwa bei ya Cuba mtungi wa gesi wa 10Kgm tunahitaji tzs 28.3B

    Team, Salaam! Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=. Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
  11. FYATU

    Africa tunahitaji "MANAGERS" badala ya LEADERS".

    Waafrika ni jamii tuliyokwisha ithibitishia Dunia na hata kujithibitishia wenyewe kuwa kuna tija ndogo sana kutoka Viongozi wao. Chaguzi zimekuwa vichaka tu, ndio maana leo utashangaa nchi iliyotawaliwa na Kiongozi mmoja miaka 40 siku anapinduliwa ndio utawasikia wananchi wanashukuru kwamba...
  12. Mzalendo2015

    Tunahitaji Raisi kama Traore wa Burkinafaso sio madikiteta

    https://youtu.be/vtxezmGOgQI?si=MUyi4Mzqdi4Mnb-v Sikiliza kilichotokea kwenye kikao cha Viongozi wa AU kule Addis Abeba. Rais kijana mwanapinduzi bila kupepesa macho wala unafiki alimlipua Rais Rutto wa Kenya kuhusu mauaji ya Gen Z huko Kenya. Aliiungwa mkono na Cyril Ramaphosa wa A. Kusini...
  13. T

    Kama taifa kinahitajika chombo huru cha kuwashauri viongozi katika masuala binafsi

    Viongozi wetu huwa na washauri katika MASUALA ya kikazi katika katika MASUALA BINAFSI hawana washauri hivyo hujikuta wanafanya makosa anvayo huwaumiza wao binafsi, wananchi na hata majukumu Yao ya kikazi. Unadhani NI ushauri UPI binafsi ungependa kiongozi yupi aupate kama pangekuwa na chombo...
  14. Poppy Hatonn

    Tunahitaji kiongozi ambaye hana hasira

    Baada ya Gen Z kumtukana Rais Samia mtandaoni,Wakenya wamefungiwa biashara. Hiyo ni trade war. Tumeona balaa iliyotokea kati ya USA na China. Hasira ni jambo baya. Kiongozi anawaangusha Watanzania na Wakenya pia. Katuni ya kipanya isiruhusiwe kubadili economic policy
  15. Ricky Blair

    Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen???

    Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen??? Discuss🤣🤣🤣
  16. M

    Nikija kuwa Rais huko mbeleni.

    Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4. 1. Kulinda mipaka ya Nchi. 2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu. 3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania...
  17. mwanamwana

    Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
  18. Alloyce PR

    Uhovyo wa wachache umetufikisha hapa

    "Zamani 'siku' zilikuwa za wanawake tu, mwanamke akisema haoni siku zake, watu walielewa. Siku hizi, wanaume nao tuna 'siku' zetu, tuna hasira, tunalia ovyo, tunahitaji chocolate na attention… karibia tutahitaji pads!" — Alloyce, P.R. 😄
  19. Logikos

    Tunahitaji Reforms; Je Reforms zipi na Tunachotaka Kitapitishwa ?

    Wizi..., Wizi..., Wizi na Rushwa... hilo limekuwa janga tangu enzi na enzi hata walipokuwa hawaibi kulikuwa hakuna sababu ya kuiba; kwahio cha kujiuliza moja..., Je tunachotaka kitapita tukikaa kwenye majadiliano ? Meza ya Majadiliano Kuna pande zaidi ya tatu zinataka mabadiliko tofauti...
  20. Genius Man

    Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
Back
Top Bottom