tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT yaipongeza Tume ya Haki za Binaamu kutangaza kuchunguza mauaji yaliyotokea Kaskazini 'A' Unguja

    TAARIFA KWA UMMA ACT Wazalendo tunaipongeza Tume ya Haki za Binaamu na Utawala Bora (THBUB) kwa taarifa yake iliyotoa kwa umma kwamba inafuatilia matukio mawili ya mauaji yaliyotokea hivi karibuni hapa Zanzibar, tukio la kwanza lililotokea Kidoti, Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja tarehe...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jaji Mwanaisha Kwariko, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, afariki dunia

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko, kilichotokea tarehe 27 Desemba, 2024, nchini India ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya utumishi wa umma jirekebisheni kwenye mawasiliano

    Habarini, Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms. Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao. Huu ni utendaji mbaya na unakela sana kwani wananchi wenye shida wanahangaika sana kwa huduma zenu mbovu. Nashauri serikali...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutekeleza uboreshaji wa daftari uboreshaji wa daftari la wapiga kura Arusha kuanzia Disemba 11 hadi 17, 2024

    Wanabodi, Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk tarehe...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri iundwe Tume kuchunguza vifo hivi vya Watanzania wenzetu

    SIKU za Karibuni kumeibuka wimbi la vifo vya viongozi huku sababu za vifo vyao zikifichwa na mwisho mnawekewa ratiba ya mazishi watu wanatoa hotuba za kusisimua wanaondoka wanaziacha familia kwenye majonzi makubwa hususan watoto na wazazi. 1. Kifo cha KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone yarejesha bilioni 34 zilichukuliwa na Salim Mansaray, mfanyakazi wa benki, ambaye alizificha Dubai

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone imefanikiwa kurejesha dola milioni 1.5 (TSh. Bilioni 3.960) kutoka kwa mfanyakazi wa benki aliyehusika na vitendo vya rushwa. Francis Ben Kaifala, Mkuu wa Tume hiyo, alithibitisha kuwa fedha hizi, zinazokaribia Shilingi za Sierra Leone bilioni 34...
  7. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Dodoma

    Habarini wenyeji wangu. Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama Tume ya Mipango ni injini ya mwelekeo wa Nchi, kuna link ipi kati ya chuo cha Mipango Dodoma na Tume hiyo? We need rethinking kuhusu Chuo hiki?

    Hiki chuo kama kinachukuliwa poa, sawa na Mzumbe "ilipoondolewa" Katika majukumu yake ya serikali za mitaa. Kwanza, nashauri chuo cha mipango kifanyiwe study, hakuna maendeleo bila mipango. Tume ya mipango ina link vipi na chuo hiki? Kiwe ni chuo cha elimu ya awali au ya kujiendeleza? Mipango...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuunda Tume ya Kariakoo ni uongo mwingine!

    Kuna njia rahisi sana za kujua kimetokea nini Kariakoo na majengo yamejengwa vipi na yapo kwenye hali gani. Serikali ingetakiwa kutangaza tender kwa kampuni zenye utaalamu wa uchunguzi wa aina hii na waje na ripoti. Badala yake tunaweka Tume hizi fake ambazo zitaleta ripoti za kisiasa ambazo...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inaunda sana Tume za Uchunguzi na Ushauri, ila sasa Utekelezaji wa Ripoti zake utafanyika lini?

    Hili ni suala linalogusa hisia za wengi, hasa inapokuja kwenye uwajibikaji wa serikali na tija ya Tume zinazoundwa mara kwa mara. Ni kweli kuwa Tume zimekuwa sehemu ya utamaduni wa kushughulikia masuala mazito nchini, lakini mara nyingi matokeo ya kazi zao hayaonekani kufanyiwa kazi kwa kiwango...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

    Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa. Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume ya Lowasa kuhisu Majengo ilifanyiwa kazi?

    Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko! Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto. Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kwa kifupi jinsi kura zinavyoibiwa kupitia daftari la mpiga kura. Unajua kwanini vyama vinapigania daftari la mpiga kura kuliko Tume ya Uchaguzi?

    Kimsingi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linapaswa kufanywa na kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi pekee na sio watendaji wa serkali za mitaa ambao wanawajibika moja kwa moja kwa watawala wa serkali. Jinsi kura zinvyoibwa kupitia daftari la mpiga kura: Unakuta kituo X waliojiandikisha...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama kweli CCM ingekuwa inabebwa na Tume Huru ya Uchaguzi, tungeshuhudia...

    Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia : Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Magari 25 ya Tume ya Madini

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa sambamba...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera

    Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
  18. NAKUKUNDA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Ajira za siri za mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi. Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vinapaswa kuwa na msimamo kwa kurudi kuhamasisha tume huru kwani raisi hajatoa tume huru bali jina

    ."
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Waziri wa Viwanda, Selemani Jafo afanya uteuzi wa Wajumbe 3 Wa Tume Ya Ushindani (FCC)

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo amefanya uteuzi wa wajumbe watatu wa Tume ya Ushindani (FCC) Kulingana na taarifa iloyotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara, Waziri Jafo amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani, Sura 285, Kifungu 62 (6) na (7) ya mwaka...
Back
Top Bottom