Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME.
Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??.
Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
John Mrema kutoka Kundi la G55 la ndani ya CHADEMAN amesema hawaoni muujiza wanaoambiwa na Viongozi wao kuwa utatokea kwa sababu tayari mchakato wa Uchaguzi umefika mbali. Na wanachokiona ni kwa ndoto zimekufa
Amesema Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2024, Kifungu cha 4 kinasema...
John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi.
Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi.
Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru na wa haki?
Utangulizi:
Umoja wa Mataifa (UN) hauna mamlaka ya moja kwa moja kuingilia uchaguzi wa...
Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.
Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye...
Serikali ilipoanzisha Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kusimamia mashauri yanayohusiana na ajira iliunda sheria ya ajira na mahusiano kazini pamoja na kanuni na miongozo yake kwa lengo la kuhakikisha mashauri hayachukui muda mrefu kushughulikiwa na Tume kwa sababu yanauhusiano wa karibu na ajira na...
Kwema Wakuu!
Kuna watu nimeona wanamshawishi Mama akubali pendekezo la kufanywa Reforms kwenye vipengele vya uchaguzi wakimwambia ati anakubalika na watu watamchagua.
Asije akathubutu hata kuwaza hivyo achilia Mbali kufanya. Akifanya hivyo hatoboi kwenye boksi la Kura.
Ukiwekwa Uwanja Sawa na...
Wakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama.
Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO CHADEMA WANATAKA atawashinda tu hao Wala asiogope. hata...
Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana kuhusu hatma ya nchi ambayo imepokwa na kikundi kidogo.
Msikilize Wakili Emma kupitia link hii akiwapa...
https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv
Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi.
Wakili msomi Maduhu...
Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
Utangulizi
Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
Yupo wapi huyo?
Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais?
Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi?
Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)
Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa.
Wasifu wake...
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
Ili uchaguzi uwe huru na haki ni vema Tume Huru ya Uchaguzi ikaajiri watumishi watakaosimamia uchaguzi mkuu 2025 ambao siyo watumkshi wa umma. Waigeni wenzenu wa nchi jirani ya Kenya ambayo Tume yao ina watumishi wa kudumu mpaka ngazi ya Kata. Kusitokee tena figisufigisu ya miaka ya 2020 na...
TUME YA MADINI KUENDELEA KUWASAIDIA WASAMBAZAJI NA WAUZAJI BARUTI.
Tume ya Madini imesema itaendelea kutoa ushirikiano na kuwasaidia wasambazaji na wauzaji wa baruti nchini ili wafanye shughuli zao kwa mujibu wa Sheria na kanuni za baruti zilizopo.
Mkaguzi Mkuu wa Migodi Mhandisi Hamisi...
Fatma anahoji kwa nini Tume inawabagua wasio watumishi wa watu umma? anahoji pia, kwa nini wenye ajira wanaongezewa ajira na kuwaacha vijana wengi wasomi wasio na ajira mitaanani.
Tume ya Uchaguzi imetangaza ajira za Msimamizi wa Uchaguzi sharti mojawapo lazima uwe mtumishi wa Umma.
Hizi ndizo...
Helow!
Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka.
Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.