Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao hiki cha dharura.
Lengo la kuitisha kikao hiki ni kujua idadi ya ma jobless tusio na nyumba ,
maana humu jf kila niki zunguka kila mtu ana nyumba au mjengo mkali na wa maana.
tuki ijua idadi yetu, tuna weza tuka ungana kuweka...