Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa.
Huenda la kweli au uzushi.
Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini.
Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa...
Wakuu samahani Sana nimekosa Title sahihi ya hili tukio,
Dogo baada ya kumaliza form four mwaka huu, ametoka mkoani na kuja Dar es salaam kwa mara ya kwanza siku ya Jumatano tarehe 28 January 2026.
Amepata ajali na kupoteza uhai, amerudisha kuzikwa mkoani Jumatano ya Tarehe 04 February 2026...
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .
Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump.
Daily Iran News.
BREAKING NEWS
The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo.
Soma pia: Dar, Jengo la National Social Security House Posta linawaka moto muda huu
- Baada ya video ya jiko lile na wanafunzi kusambaa, viongozi wakamkamata, wakamlazimisha arekodi video ya "maelezo ya uongo" ili wamuachie, na video yenyewe ni hii chini
Unyanyasaji na upuuzi wa viongozi na polisi wa eneo hilo, unamuumiza kijana asiye na hatia aliyetaka shule yao isaidike...
Hili Tukio ndio niliamini Hii nchi tuna safari ndefu sana 🤣.
Siasa za Kijinga sana hizi, Imagine ilikua Trending sana, Ikawa na Bango la kimkakati kabisa.
Mpo kwenu dakika za majeruhi kwenye boksi mpinzani anataka kukufunga na kuzua taharuki sasa unategemea beki amuachie tu mpaka ashinde wakati yeye amepewa jukumu la ulinzi ?
Je , unataka na refa akacheki kwenye VAR azue taharuki kwa wanaMoroko waliojaa uwanjani wangevamia ingekuwaje usalama...
Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.
Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni...
Sasa hivi anasemaje? Kama Nguvu ilikua sahihi kwa nini leo aone ya kua tumeondokewa na wapendwa au anaamini tumekwisha sahau?Hapakaliki huko?Aendelee kupambana na wananchi, jumuiya za kimataifa na kanisa.
Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji.
Kwa sasa kabla ya kwenda kuteka watu wanachunguza nyumba za majirani kama zina CCTV na wakijua na wewe unakuwa mmoja wa kesi zao.
Kwa mujibu wa juzuu ya Royal blue heating kama alivyoandika Mwandishi Hazel Montgomery inaonekana siyo katika filamu za kisayansi ila ni katika anga letu la kila siku kuwa juwa litaghubikwa na mwezi na mwanga wake utakuwa kama umezimwa.bkwa dakika kadhaa, joto la Dunia litashuka ghafla, jua...
Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"
Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo
Wanajeshi wetu wengi...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu.
Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
Wakati mwingine hisia sio za kupuuzwa. Kuna nyakati unaweza kuwa mahali fulani ukahisi jambo, lakini kwa kujifanya jeuri au kutosikia sauti ya ndani, unajikuta unayapitia yale yale ambayo ulionywa mapema.
Kwa kifupi, visa kama hivi vipo vingi sana kwenye maisha ya kila siku. Ngoja nikupe mfano...
Kumekuwa na taarifa mbalimbali juu ya chanzo cha maandamano na vurugu zilizotokea.
Wengine walio serikalini wakiwashutumu wahuni na watu wa nje kuwa ndio chanzo. Na wale walioandamana wanaona kwamba labda serikali na baadhi ya wanasiasa walio madarakani na nje ya madaraka kama ndio chanzo cha...