tujikumbushe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tulioishi Mwanza miaka ya 1990 mpaka 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Miaka ile Mwanza ilikuwa na raha zake Beach lazima uende tunza beach ndio ya kishua. Club zilikuwa deluxe na capricabana ndio za kishua hasa ambapo unakutana na kina dj cutter kidboy huku watoto wa kiswazi wakikutana pale magnum. Tape music za nje tulikuwa tunanunua pale boom explosion...
  2. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo kifinyo hiki cha Polisi huko Zanzibar

    Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
  3. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji waliosajiliwa pesa nyingi kisha wakaflop

    Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea. Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili tuweze kuishauri Serikali

    Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa . Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe msimamo na kura ya Othman Masoud Othman ktk Bunge Maalum la Katiba

    ..msimamo wa Othman Masoud ulianzia ndani ya kamati ya uandishi ktk bunge la katiba. ..Othman Masoud anadai alikataa kuburuzwa na Andrew Chenge hivyo akaamua kutokuendelea kuwa ktk kamati hiyo. ..Kwa hiyo Othman Masoud alikuja kutokea bungeni siku ya kupiga kura kama mnavyomshuhudia hapo chini.
  7. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Viungo Wakabaji waliokuja na kuondoka Simba na kumuacha Jonas Mkude

    Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude. Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee Jakaya Kikwete

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga. 1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako 2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na mazingira/context ambapo jkauli hizo zilitoka. kwa mfano kauli ya "akili ya kuambiwa changanya ya...
  9. JamiiForums Tanzania Binadamu tumeumbwa kusahau, hebu tujikumbushe kidogo

    Mikia tunawakumbusha huku
  10. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe enzi za kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu kazi za kiserikali

  11. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe na Majizi ya Escrow

    Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
  12. JamiiForums Tanzania Ni mbunge Mpina pekee anayetumia ubunge wake ipasavyo, wabunge mliobaki naomba tujikumbushe majukumu ya Bunge la Tanzania

    Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2) ya Katiba ya Nchi, kwa maneno yafuatayo: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha...
  13. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe safari ya yanga 8 bora CAF confederation cup 2016

    Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja...
  14. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Huyu Bwana namkubali sana

    NINAMKUMBUKA SWAHIBA YANGU
  15. JamiiForums Tanzania Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

    Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi. Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda aache kujiingiza mambo mengi yasiyo maana ikiwemo wasanii Kwa kutaka wamsifie wakati wao wanataka...
  16. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe maneno ya zamani ya Kiswahili cha mtaani ambayo yamepotea hayatumiki tena

    Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana. Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa. Kula jiwe- kukaa kimya...
  17. JamiiForums Tanzania Binadamu tumeumbwa kusahau,hebu tujikumbushe kidogo

    Ebu na wewe weka swali moja la mawakili wa utetezi kuelekea kwa mashahidi wa michongo.
  18. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
  19. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

    Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda Mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na Polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini Darisalama aliyeitwa JB Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo ubabe wa Job Ndugai Bungenii

    Spika Ndugai alimshukia Zitto akaambiwa: Naweza kukunyima kabisa fursa ya kuongea bungeni, hakuna kuuliza swali, hakuna kuchangia chochote na huwezi kunifanya chochote wala kunipeleka popote. Usinichezee mimi nina faili langu Milembe. Karibuni tuanike hapa ubabe wa kitu Ndugai
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…