Sekta ya elimu yaongoza kutuhumiwa kuwa na malalamiko ya rushwa mkoani Mtwara kwa mujibu wa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (Takukuru) mkoani hapa kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Machi, 2023.
Mkuu wa Takukuru mkoani Mtwara, Enock Ngailo amesema...