tuamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sam pizzo

    Watanzania tuamke, tuachane na Katiba ya Ujamaa (Socialism)

    Katiba ya CCM ni ya kizamani (ujamaa) na ndio inatuchelewesha kuendelea kwa spidi kama nchi.Ukitembea nchi za wengine imekua ni aibu kwa mtanzania,achilia mbali kutawaliwa na mwanamke maana hata kwenye Imani zetu dini zinasema mwanamke ni msaidizi wa mwanaume.Rasilimali zinaliwa na...
  2. Surya

    Yametimia haya, Watanzania Tuamke

    https://youtu.be/9h2Wcmrhpi0?si=WUNWjkcRJ20Ftjr-
  3. Raia Fulani

    Ni kama vile wanatuambia "tuamke"

    Wanaotuambia tunawajua Tunaoambiwa tunajulikana Wameshatuona tumelala sana Yani tumelala hadi tunakereketa Wamechezea sharubu hadi tumezoea sasa wameamua kuchezea kende na tunaelekea kuzoea Wanaanza kuchezea mifumo ya taka na hii ni kutuamsha tu Kweli tunaruhusu mifumo hiyo kuchezewa...
  4. Equation x

    Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

    Baba ni baba tu Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia. Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma. Kuwa na watoto katika familia ni jambo la muhimu sana, na linaimarisha uwepo wa uzao wako hapa duniani...
  5. Mstahiki Mea

    Rwanda kuidhamini Athletico Madrid, Tanzania tuamke

    Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii. Sector ya utalii Tanzania nimuhimu tuamke, angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa...
  6. Majitha

    Vijana wa Tanzania tuamke na Kujishughulisha Zaidi Kuliko Kusubiri Kuajiriwa na Serikali

    Katika dunia ya leo inayobadilika kwa kasi, changamoto ya ajira kwa vijana imekuwa ni tatizo sugu linalokabili nchi nyingi, ikiwemo Tanzania. Kila mwaka, maelfu ya vijana wanahitimu vyuo vikuu, vyuo vya kati, na shule za sekondari, huku nafasi za ajira serikalini zikiwa chache mno kulingana na...
  7. hmaloh

    Ushauri wangu tusibaguane tusidharauliane tuheshemiane na kishirikiana

    Kuna namna nimekaa nikawaza finally nikaja na conclusion yakwamba dini zimekuja kama mtego tu kwa wale wavivu wakufikiri hivi ushawahi kufikiri yakwamba kama sote tunashare ten commandments of God/Allah/Mungu, Je nikwanini tuna Imani tofauti hii ni kwa faida ya nani? au kwa lengo lipi,binafsi...
  8. D

    Natoa wito VETA ifutwe haraka mana ni kichaka cha ccm kikwepa jukumu la kuwapa ajira vijana. Watanzanua tuamke tunapelekwa mbio sana.

    Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri. Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
  9. K

    Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  10. ELI COHEN

    Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
  11. Mtu Alie Nyikani

    Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

    Kutoka mitandaoni... TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO. Na Joshua Ntagala Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu, utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa...
  12. Equation x

    Tuamke, twendeni tukalime

    Msimu huu tukalime Mambo ya kukaa mjini tukitegemea wanakijiji waliojichokea ndio watulimie chakula, imepitwa na wakati. Kila mmoja kama ataamua kulima, vyakula vitashuka bei na maisha yatakuwa marahisi. Haya mambo yakutafuta hela, na tukitegemea hiyo hela ndio ibadilike iwe chakula; ndicho...
  13. Gily Gru

    Afrika Tuamke -Remmy Ongala

    Remmy Ongala Wimbo Wema👇👇 https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe. Nakulilia Afrika
  14. FaizaFoxy

    Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

    Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini. Huo ni uongo na tumekuwa tukijazwa ujinga "brainwashed" kuamini hilo. Uislam haujatukataza popote kufanya siasa. Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadam. Tusidanganywe...
  15. Little_me

    SoC03 Elimu janja ni kuona mbali

    Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha? Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga kutufunulia vitu vile ambavo tusingeweza ona kwa sababu ya giza. Siongelei kujumuisha watu wote ila...
  16. L

    SoC03 Tuamke tuchukue nafasi zetu

    Jamii inatarajia kuona maendeleo katika kila eneo hasa kwa vizazi vijavyo.Wazazi wanajitahidi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora na mahitaji muhimu ya kila siku,hata wale wenye kipato cha chini hawako nyuma kuhakikisha watoto wao hawabaki nyuma kielimu. Katika ulimwengu huu wa teknojia...
  17. Z

    SoC03 Kijana Tambua Fursa za kiuchumi

    Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana. Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama...
  18. R

    Kwa hiki kilichototea bungeni. Je, kwa ubabe huu tunahitaji katiba mpya au Watanzania tuamke tudai nchi yetu?

    Habari jf, Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo . Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako...
  19. Fursakibao

    Huu ni wizi Sasa; Watanzania tuamke tuache uoga

    Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga. Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi...
  20. R

    Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni mpango wa Kifisadi kama ilivyo mingine, Watanzania tuamke

    Kuna kila Dalili huu uwepo na mpango kuwa na hawa wabunge 19 Bungeni ni mpango wa kifisadi na wahusika ni viongozi wakubwa ikiwepo CHADEMA, kwa namna tu hili suala linavyopelekwa. Kuna fununu kuwa hawa wabunge huchanga pesa kila mwezi na kuweka kwenye akaunti ,Hawa ni watu wazima kila mtu...
Back
Top Bottom