Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni mpango wa Kifisadi kama ilivyo mingine, Watanzania tuamke

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Kuna kila Dalili huu uwepo na mpango kuwa na hawa wabunge 19 Bungeni ni mpango wa kifisadi na wahusika ni viongozi wakubwa ikiwepo CHADEMA, kwa namna tu hili suala linavyopelekwa.

Kuna fununu kuwa hawa wabunge huchanga pesa kila mwezi na kuweka kwenye akaunti ,Hawa ni watu wazima kila mtu anaweza tunza Pesa, huu umoja wa kutunza pesa umetoka wapi?

Je, mwisho wa siku zinapelekwa wapi?
Lakini hata comment ya Mh Mbowe kwamba kina Mdee waache uhuni ni comment ya kimasihala sana na inafikirisha sana.

Ustaarabu wa Tundu lissu,Tulia na Mnyika kwenye hili suala ni wa kiwango cha Juu ,Huu wote tunamjua Tundu lissu alivyo.

Kwa hili Watanzania Tuamke tunapigwa .
 
Ukivimbiwa maharage nenda chooni kajambe, hao macovid walishafukuzwa uanachama, kama ni pesa wanapeleka mahakamani au kwa Ndugai aliyewapa ubunge.

Halafu unaweza kukuta maiti kama hii nayo nyumbani kwake inaitwa baba.
 
Hahaa shukrani mkuu
 
Attachments

  • IMG-20220604-WA0000.jpg
    IMG-20220604-WA0000.jpg
    38 KB · Views: 14
  • Thanks
Reactions: RNA
Kuna kila Dalili huu uwepo na mpango kuwa na hawa wabunge 19 Bungeni ni mpango wa kifisadi na wahusika ni viongozi wakubwa ikiwepo CHADEMA, kwa namna tu hili suala linavyopelekwa.

Kuna fununu kuwa hawa wabunge huchanga pesa kila mwezi na kuweka kwenye akaunti ,Hawa ni watu wazima kila mtu anaweza tunza Pesa, huu umoja wa kutunza pesa umetoka wapi? Je, mwisho wa siku zinapelekwa wapi?
Lakini hata comment ya Mh Mbowe kwamba kina Mdee waache uhuni ni comment ya kimasihala sana na inafikirisha sana.

Ustaarabu wa Tundu lissu,Tulia na Mnyika kwenye hili suala ni wa kiwango cha Juu ,Huu wote tunamjua Tundu lissu alivyo.

Kwa hili Watanzania Tuamke tunapigwa .

Uliposema Kuna tetesi nikajua tu ni udaku nikaacha kusoma.
 
Ukivimbiwa maharage nenda chooni kajambe, hao macovid walishafukuzwa uanachama, kama ni pesa wanapeleka mahakamani au kwa Ndugai aliyewapa ubunge.

Halafu unaweza kukuta maiti kama hii nayo nyumbani kwake inaitwa baba.
Watu mnachukia sana ukweli
 
Back
Top Bottom