traffic

  1. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnapofumbia macho Rushwa ya Trafiki mnazidi kuwachonganisha wanyonge na Serikali

    Nadhini mnaopita barabarani mtakuwa shahidi kwamba Sasa hivi Rushwa si siri tena. Unapanda bajaji wanalalamika kuna maeneo wanatoa elfu mbili kwa siku na maeneo mengine elfu moja kwa siku. Daladala kila siku lazima watoe kuanzia elfu mbili Hadi tano kwa siku na usipotoa gari Yako haitafanya...
  2. JamiiForums Tanzania Picha ilipigwa mwaka 1950 mjini Karachi, traffic police akiongoza magari

  3. JamiiForums Tanzania Traffic Police Mweupe Mfupi anayeeongoza magari kwenye taa za St. Peters Osterbay anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu

    Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana. Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 24 still strong barabarani, Yamaha 4gl-90

    Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan. Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
  5. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani wamuige askari wa Morocco kuongoza magari

    Asubuhi na jioni ni muda ambao magari huwa mengi na askari wa usalama barabarani(Traffic) hujitahidi kupunguza adha hii kwa kuzipa kipaumbele barabara ambazo zina msongamano mkubwa zaidi wa magari. Kinachotokea, mathalan upo kwenye barabara yenye magari pungufu, askari huyo ukakuzuia na ukawa...
  6. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  7. JamiiForums Tanzania The Emir of Katsina, Muhammadu Dikko and his entourage admire the traffic lights at Hyde Park in London, 1933

  8. JamiiForums Tanzania Gauni la Beyoncé limesababisha traffic huko Instagram

    Akiwa na mume wake Jay Z kwa tuzo za Gram.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Traffic police wa ukonga leo wamegoma?

    Sijawahi kuona hii foleni ya kutoka vingunguti hadi Banana cha ajabu sijamuona hata trafic mmoja akiongoza magari hata kwenye mataa hakuna trafic yoyote. Magari yamefungana wala hayendi kabisa,yaani hayaendi popote. Nadhani leo tutakesha hapa barabarani.
  10. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini Mbinu za trafiki kupokea pesa ya kung'arisha kiatu ziwe kivutio kwa wenye vyombo vya Moto?

    UTANGULIZI Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba na kuakikisha vyombe vinavyotembea ni tu vilivyo salama. JE, NI KWELI ASKARI HAWA WANASIMAMIA...
  11. JamiiForums Tanzania Traffic Lights Bagamoyo Road nyingi sana mpaka kero

    Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Tusiwageuze traffic polisi mafisadi

    Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwenge - Morocco: Stendi za Daladala 6 na Traffic lights maeneo 10 kama mapambo, Panachosha lakini salama

    Ukitokea Mwenge kuelekea Morocco Traffic lights 1. Mwenge 2. Njia panda ya ITV 3. Bamaga 4. Sayansi 5. Millenium tower 6. Makumbusho 7. Njia panda ya Mwananyamala 8. Njia panda ya Kairuki hospital 9. Njia panda ya Chato ( Vodacom) 10. Morocco Vituo vya Daladala 1. ITV 2. Bamaga 3. Sayansi 4...
  14. JamiiForums Tanzania Kero za askari wa usalama barabarani: Utaratibu wa kutoza adhabu barabarani uangaliwe upya

    Nitangulize kupongeza wote waliohusika kubadili utaratibu wa kutoza adhabu za vyombo vya usafiri barabarani badala ya ule wa awali ambapo mahakama pekee ndio ilikuwa inatoza. Hakika, walikuwa na nia njema ya kuondoa usimamaji wa vyombo vya usafiri kusubiri hukumu ya mahakama. Pamoja na nia...
  15. JamiiForums Tanzania You are not stuck in traffic, you are the traffic

    planet is more safe if we do not exist
  16. JamiiForums Tanzania Traffic lights kona ya ITV zimeongeza jam

    Yaani badala ya kusaidia kupunguza jam hizi taa hapa ITV junction zimeongeza kero aisee sijui nini wataalam wetu wameshindwa kutatua. Kwanini hata wasingewaza magari ya kutokea upande wa ITV yanayoelekea mwenge yakazungukie bamaga? Na Yanayotoka bamaga kuingia Mikocheni yakaingilie mwenge? Mbona...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Multi billion projects that will resolve Nairobi traffic mess

    According to a report by the Institute of Economic Affairs (IEA), studies show that Kenya loses approximately Ksh50 million daily due to direct financial impact caused by traffic jams. The national and county governments have embarked on mega projects to increase road capacity and manage...
  18. JamiiForums Tanzania TANROADS rekebisheni traffic lights za Aga Khan junction kabla hazijasabanisha ajali

    TANROADS tafadhalini rekebisheni hizo taa. Karibu wiki sasa naona taa zinaruhusu huku na huku kwa wakati mmoja. Naweka picha inayoonesha gari kutoka Agakhan hospital zimeruhusiwa huku gari zinatoka selander kuingia upanga nazo zimeruhusiwa.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dalili za Rushwa: Magari binafsi ya Traffic yanapotumika kukamata magari

    Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata. Magari haya unaweza kuyakuta mbali tena yakiwa nje ya mji. Swali la kujiuliza. Nani anaweka mafuta haya magari kuyawezesha...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jeshi la Polisi msitumie Sheria kama 'Kitega Uchumi'

    RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Polisi wasitumie makosa kama kitega uchumi kwa kutoza faini mbalimbali badala yake wajikite kwenye kudhibiti makosa Ameyasema hayo alipokuwa katika Ziara ya Kuzindua Kiwanda cha Ushonaji cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…