traffic

  1. JamiiForums Tanzania Traffic maeneo ya Bomang’ombe kuelekea Daraja la Kikavu wanavuna hela bila uoga

    Sasa ni wazi kila mtu anakula kulingana na urefu wa Kamba yake. Askari wa usalama barabarani eneo la Bomang’ombe kuelekea daraja la kikavu wamekuwa wakikwapua fedha za maderava bila uoga wa aibu. Wamekuwa wakiendeleza tabia mbovu na mbaya kama wale jamaa waliofungua Account China. Ukifika...
  2. JamiiForums Tanzania WIMBI LA MAKATO YASIYOELEWEKA BENKI: Je, benki zimepewa mamlaka ya kukata fine za trafiki, deni, tozo ya luku na malipo ya maegesho kwa TARURA?

    Benki zina wajibu mkubwa sana juu ya kuheshimu misingi ya kazi zao na mikataba na miongozo ya kuanzisha kwake. Ambao hamjashtukia hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu Kupokea meseji za makato mbalimbali kutoka kwenye mabenki kama CRDB, NMB, na etc. Kwa msiojua kuna namna mamlaka za serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  4. T

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

    Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari. Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu. Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
  5. JamiiForums Tanzania NEMC Ikiwapendeza Fanyeni Kama Traffic Police

    Kiukweli hali imekuwa mbaya sana mtaani, vyombo vya entertainment majumbani na sehemu za starehe vinazidi kuongezeka kwa kasi na sasa imefikia familia na wenye bar pamoja na makanisa wananunua maspika makubwa yanayotakiwa kufungwa kwenye kumbi za muziki yanawekwa majumbani na kwenye sehemu za...
  6. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Traffic police ni janga la kitaifa, wanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi

    Bei ya mafuta imepanda sana, mishahara ni midogo sana na bidhaa zote sokoni zimepanda kwa kila mtu duniani wakiwemo hata polisi traffic. Polisi wanazidisha ugumu wa hali hii kwa njia ya kutafuta makosa kwa wenye magari na wasafirishaji wa abiria na mizigo, hali inayosababisha gharama kubwa za...
  8. JamiiForums Tanzania Trafiki ni mradi wa mapato Serikalini na wakubwa fulani

    Comrade Kinana amepasua jipu. Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama. Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines zinazoingizia serikali mapato na vile vile hela ya pembeni wanayopata askari. Ni jambo la kawaida sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Traffic Police wa Tanzania wanasababisha ajali kuliko kupunguza

    Huu ndio ukweli mchungu sana.... Unamiliki chombo Cha usafiri? Wewe ni Mtu makini wakati wa Safari? Basi utakubaliana na ukweli huu. 1. Traffic Police wetu wamegeuka wakusanya mapato badala ya Usalama kwanza imegeuka Mapato kwanza. Ndio maana hushangai kusikia taarifa ya Jeshi la Police...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Site gani yenye traffic kubwa kutangaza real estate?

    Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)... Noamba kwa mwenye kujua tafadhari....
  11. JamiiForums Tanzania Zebra Crossing: Mgodi wa Trafiki na Polisi wa kawaida

    Wakuu, natumaini mu wazima na kwa wale wenye changamoto za afya na mengineyo nawapa pole na kuwatakia uponyaji wa haraka! Wakuu kuna hii changamoto ya Askari police 👮‍♀️ kugeuza kivuko cha waenda kwa miguu sehemu yao ya kupigia hela. Nina imani jambo hili lipo kwenye mikoa mingi na Hata humu...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KQ intends to buy 40 flying taxis from Brazil

    Kenya Airways(KQ) has signed a deal that will see it buy 40 flying taxis from two Brazilian firms as part of the airline’s diversification through its new subsidiary Fahari Aviation. The carrier said on Tuesday it had signed a letter of intent (LOI) with EVE UAM, LLC, a subsidiary of Eve...
  13. JamiiForums Tanzania Ujerumani: Je wajua, Magari hupita pembeni ya barabara kunapokuwa na foleni ili kuacha nafasi ya magari ya dharura?

    Kunapokuwa na foleni nchini Ujerumani, madereva hulazimika kisheria kupita pembeni ya barabara ili kuacha nafasi ya magari ya dharura kama magari ya wagonjwa na zimamoto. Je unadhani ni muhimu kwa nchi nyingine kufuata utaratibu huu?
  14. JamiiForums Tanzania Sare za traffic wa Uganda ni za ovyo Ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
  15. JamiiForums Tanzania Uonevu wa Traffic Barabara ya Nyerere

    Kuna tabia mpya Traffic wameanzisha barabara ya Nyerere baada ya Quality Center ikiwa unaelekea mjini wanaweka utepe kwenye uelekeo wa Service Road ilipo bank ya Absa karibu na Lifemate Furniture. Hata ikiwa dhamira yao ni kuzuia watu wanaeonda mjini wasichepuke, lakini haileti maana kwa sehemu...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Traffic police na kosa la ubovu wa gari

    Habari, Juzi kuna mdau kasimamishwa na Traffic police anataka amwandikie fine kisa ubovu wa gari yaani bumper la mbele limeharibika, Tulikua tunawaza, huu ujasiri wanautoa wapi? Bumper la gari limeharibika kutokana na ubovu wa barabara, kwa nini fine wasitozwe wajenzi wa barabara kwani wao ndo...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  18. JamiiForums Tanzania Trafiki kama kupita service road ni makosa basi muwaambie Tanroads wasizijenge

    Nashangaa sana haya mambo wanayofanya hasa hapa Mbezi Beach Massana mpaka Tanki Bovu gari ikipita service road wanaikamata. Nauliza ile barabara matumizi yake ni nini?
  19. JamiiForums Tanzania Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

    Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort! Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort? Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  20. K

    JamiiForums Tanzania Trafiki ni halali kusimamisha gari kwenye kona?

    Leo saa 5.42 asubuhi traffic wenye Pikipiki No. MC.......BXR wamesababisha msongamano na mvutano na abiria baada ya kusimamisha Daladala kwenye kona iliyoko kati ya barabara ya bandari na Devis Corner wakilazimisha gari hilo lirudi kituoni. Kwanza kulikuwa na joto kali mno kina mama abiria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…