tra

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yaamuru Vodacom kuilipa TRA kiasi cha Tsh. Bilioni 1.4

    Mahakama ya Rufani imeiagiza Kampuni ya Vodacom Tanzania Public Limited Company kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya shilingi bilioni 1.4, ikiwa ni riba ya kodi ya zuio (withholding tax) kutokana na kuchelewesha kulipa kodi hiyo inayotokana na riba ya Mikopo ambayo kampuni hiyo...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

    Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
  3. Hamduni

    JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo kwa miezi 9 mfululizo yakusanya trilioni 24.05

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda...
  4. Tman900

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Gari, TRA ni 80% Hadi 100% na zaidi

    Ushuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine. Kua na ushuru mkubwa sababu ni Nini.
  5. J

    JamiiForums Tanzania TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025 .

    TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025 . Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili TRA Kutangazwa Aprili 25, 2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA Aprili 23, mwaka huu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Awalalamikia TRA kuwa kuna watu walikuwa na mitihani kabla ya interview, kaweka maswali yaliyotoka na majibu yake

    Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani. kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake, ikumbukwe watahiniwa hawakuruhusiwa kuondoka na karatasi la maswali. Comment ipo kwenye chapisho...
  8. U

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii inayodaiwa ni watu walienda kwenye interview ya TRA

    Je picha hii ni halisi au sio halisi? Hawa watu ukiwaangalia vizuri sura zao kama zinafanana hasa wanaume, hata nguo walizovaa wengi zinafanana, na kikawaida mistari haiwezi kunyooka kiasi hiki.
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    EID MUBARAK Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid El Fitr
  10. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania TRA meseji za kukumbusha Deni, mnatuma mara SITA kwa siku?!

    TRA,Tunajua mnatafuta Hela kwaajili ya maendeleo yetu,ila kumtumia mteja meseji za malipo ya VAT,mara SITA Kwa siku sio jambo zuri! Angalieni mifumo yenu,inakuwa kero Sasa.
  11. Chongeni

    JamiiForums Tanzania Usaili wa TRA Ulikuwa wa Haki

    Kwa maoni yangu, usaili ulikuwa wa haki, pepa ilikuwa fair, haikuwa ngumu wala haikuwa rahisi. Halafu ndo nini sasa kutuhesabisha vidole namna ile, wanatoa calculation halafu marufuku kutumia Calculator…..!!! Toa maoni yako, pepa ilikuwaje kwako… Nimeiweka Screenshot ya Calculation question kwa...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi nchi nzima jumamosi na jumapili tarehe 29 na 30 machi 2025

    OFISI ZA TRA KUWA WAZI NCHI NZIMA JUMAMOSI NA JUMAPILI TAREHE 29 NA 30 MACHI 2025 Tupo wazi Jumamosi na Jumapili tarehe 29 na 30 Machi 2025 ⏰ Saa 2:00 Asubuhi hadi Saa 11:00 Jioni Karibu Tukuhudumie Kwa mawasiliano zaidi: Simu Bure: 0800 780 078 / 0800 750 075 Barua Pepe: huduma@tra.go.tz...
  13. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

    Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
  14. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Interview TRA Risk Officer

    Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kufanya interview ya Risk Officer TRA, naombeni techniques na formula jinsi maswali yanavyotolewa na jinsi ya kupita hyo interview 🙏🙏🙏
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania TRA: Ambao hawajaitwa kwenye Usaili wa mchujo na wanadhani wana sifa, waasilishe malalamiko

    Kufuatia tangazo la kuitwa kwenye usaili wa Mchujo wa kuandika lililotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) tarehe 22.03.2025. Katika kuhakikisha kuwa kila mwombaji anapata haki anayostahili, Mamlaka inapenda kuwafahamisha waombaji ambao hawajaitwa kwenye usaili wa mchujo na wanadhani wana...
  17. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Hongera TRA kwa kuita watu interview,ila zipo changamoto za kutatua

    Tukiwa wahanga wa mda mrefu wa sahili za TRA ,na wengi kufanikiwa kupata nyakati za utumishi ila kwa kipindi ambacho wanasimamia TRA wenyewe, changamoto zilikuwa nyingi sana,nadhani kwa kipindi iki wanaenda kutatua ,tunaimani nao sana. Baadhi ya changamoto zinazopaswa kutatuliwa ni...
  18. Isenye

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
  19. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

    Salaam!!!! Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview. List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4) Shukran. Pia unaweza pitia Uzi huu hapa Chini Kwa link ya Magroup ya kujisomea...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya walioitwa kwenye Usaili wa mchujo TRA

    PDF
Back
Top Bottom