tra

  1. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

    Habari wana JF, Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu. Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili. Pia nimefanya kazi za...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Who is a good tax collector?

    Introduction Throughout history, taxation has often been a contentious subject. From ancient empires to modern governments, tax collectors have been perceived with skepticism, sometimes even hostility. However, the biblical account of Zacchaeus (Zakayo) offers a refreshing and timeless lesson...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

    Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo. Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya rufaa kwa ambao hawakuitwa written interview ya TRA March 2025

    Habari Wadau, Naomba kuuliza kwa wale ambao hawakuitwa kwenye written interview ya TRA na wakawasilisha malalamiko yao,Je walijibiwa?
  5. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Ningependa Kulipwa kwa Bitcoin… Je, TRA Watanifunga?

    Kama freelancer au mtu unayefanya kazi za mtandaoni, kuna siku inawezekana ushawahi pokea message au utapokea email au message ikisema, "I’d love to pay you in Bitcoin. Are you okay with that?" Na hapa ndipo swali linapojitokeza kwa wengi wetu hapa Tanzania: Kama nikilipwa kwa Bitcoin, JE! TRA...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rufaa za TRA zinatoka lini?

    Wakuu Kwa sisi ambao hatujaridhika na matokeo ya TRA tuliambiwa tukate rufaa kwa kutuma barua kwa wahusika kueleza sababu za kutoridhika na hayo matokeo yao ambayo kiuhalisia ni yamepikwa tu. Je majibu ya rufaa zetu yanatoka lini?
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA ya Mechanical, Textile, Oil and Gas, Mining, na Geology Yamechanganywa Pamoja

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania TRA watendeeni HAKI kundi la watu wenye ulemavu waliofikisha marks 50 (alama ya ufaulu kadiri ya kanuni). wapeni HAKI yao ya kwenda oral

    TRA Tanzania Dkt. Gwajima D
  9. kilio

    JamiiForums Tanzania TRA lazima iwajibike na imekurupuka, uwezo wa NBAA ni mdogo sana kwenye tansia ya teknolojia na engineering

    Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti

    TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti kwa kila kada, lakini matokeo yake yamechanganywa. Kwa mtazamo wangu, hali hii inaweza kusababisha...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  12. Bueno

    JamiiForums Tanzania TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

    TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine? TRA Tanzania
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa kuandika TRA uliofanyika tarehe tarehe 29 na 30 March 2025

    MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini...
  14. T

    JamiiForums Tanzania TRA - Website yenu inatuchanganya

    Website mpya ya TRA inatuchanganya mambo mengi yameodolewa ni kwanini? Sheria zote za kodi na mapato mengine vimeondolewa. Tafadhali rudisheni sheria zote zilizokuwepo pamoja na decided tax cases.
  15. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Lile swali la mwisho la calculations majibu yake ni hayo hapo. Lilikua na marks 20 lote. Ukilikosa lote means 20 marks zinaondoka.
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania CAG: Tsh 1.14 Trilioni Zilizokusanywa Na TRA hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa. Kwa mujibu wa ripoti hiyo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania MANAGER WA TRA KULINDA WAKWEPA KODI

    Manager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yaamuru Vodacom kuilipa TRA kiasi cha Tsh. Bilioni 1.4

    Mahakama ya Rufani imeiagiza Kampuni ya Vodacom Tanzania Public Limited Company kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya shilingi bilioni 1.4, ikiwa ni riba ya kodi ya zuio (withholding tax) kutokana na kuchelewesha kulipa kodi hiyo inayotokana na riba ya Mikopo ambayo kampuni hiyo...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

    Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
  20. Hamduni

    JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo kwa miezi 9 mfululizo yakusanya trilioni 24.05

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda...
Back
Top Bottom