The Tanzania Petroleum Development Corporation (Swahili: Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania) is the national oil company of Tanzania and owner of all licenses for energy development in the country. The company was established through the Government Notice No.140 of 30 May 1969 under the Public Corporations Act No.17 of 1969. The Corporation began operations in 1973. It is a wholly owned Government parastatal, with all its shares held by the Treasurer Registrar. In the summer of 2015, the Parliament of Tanzania passed three legislative Acts dealing with energy and directly impacting the company: the Petroleum Act 2015, the Tanzania Extractive Industry (Transparency and Accountability) Act 2015, and the Oil and Gas Revenues Management Act 2015.According to The Economist, "Estimates put the country’s reserves at a little over 50 trillion cubic feet of gas, a figure the government thinks may double as additional exploration wells are drilled, making them potentially a considerable potential source of revenue."
Yani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu.
Ina maana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35...
Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma.
Lengo la kujenga kituo cha CNG (Compressed Natural Gas) ni kurahisha upatikanaji wa gesi katika...
TAARIFA KWA UMMA
Kufuatia uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kumteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), leo nimewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Shirika hilo:
1...
Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC...
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.
Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
Kuna watu wanadhani na kuamini kwamba Zitto Kabwe ni kiongozi asiyependa ubabe, wanakosea sana.
Zitto Kabwe ni mbabe kupita hayati Magufuli.
Zitto Kabwe aliwahi kumsweka ndani mkurugenzi wa TPDC kwa jambo ambalo lilihitaji mjadala tu na alipohojiwa alisema katiba ndio imempa Madaraka hayo...
Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafuta na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda...
January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei.
Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk. James Mataragio, alibainisha hayo jana mkoani Dar es Salaam, akitafsiri kwamba ni hali inayoiweka nchi katika hali ya hatari endapo hatua zinazokwenda kuchukuliwa hazitafanikiwa.
“Hivi karibuni kumekuwa na upandaji wa bei ya mafuta na hii inatishia usalama wa...
Straight to the point.
TAKUKURU hebu kwa heshima na taadhima nawaomba mkafuatilie huu mchakato jinsi ulivyofanyika maana una viashiria vya RUSHWA ndani yake, kwanini nasema hivi:-
1) Hakukua na tangazo la ajira publicly watu waliitwa kwa kupigiwa simu kwenda kufanya usaili.
2) Baada ya usaili...
Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC.
Mimi naanza na hawa wawili
1. JAMES MATARAGIO
2. JACKSON DULLE
Huyu bwana hii ndio CV yake, na sina hakika kama Tanzania wanaweza kumlipa.
Namempendekeza huyu bwana kwasababu ana exposure na makampuni ya...
Zaidi soma:
1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.