Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Yani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu.

Ina maana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero kilometer pale Port. Nishauri serikali siyo nawaonea donge, ila wajaribu kupunguza hiki kiwango, haiwezekani mshahara wa mwalimu yeye anapiga kwa siku moja tu.

Nataka kujua kwa lipi hasa mpaka wapewe pesa ndefu kiasi hiki, yaani unakaa miaka mitano tu kazini tayari salary slip inasoma million nane .

1670829539345.jpg
 
Yani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu.

Inamana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero kilometer pale Port. Nishauri serikali siyo nawaonea donge, ila wajaribu kupunguza hiki kiwango, haiwezekani mshahara wa mwalimu yeye anapiga kwa siku moja tu.

Nataka kujua kwa lipi hasa mpaka wapewe pesa ndefu kiasi hiki, yani unakaa miaka mitano tu kazini tayari salary slip inasoma million nane .

View attachment 2443725
Sio lazima kuanzisha nyuzi JF kila siku, hakuna mashindano humu, non sense
 
Kuna madereva wa hazina wao per diem kwa siku ni laki tatu unachota tu unakuta safari ya siku 90 unalipwa cash... hahahahahaha ndio maisha sasa jiulize madereva wale wa site na hawa wa lami 24 hrs tofauti nayo...

Usiangalie ukubwa wa kazi ishu ni kwamba taasisi yenyewe tu inajipangia mishahara na ni baraka toka kwa wakubwa
 
Back
Top Bottom