Geolphysists II at petroleum upstrem regulatory authority

wizy

JF-Expert Member
Sep 23, 2016
4,179
10,393
Habari wakuu, naomba kuuliza interview za geophysists kwenye taasisi ya PURA huwazipoje?
 
Ahsante
Pia pitia kwenye website ya PURA yasome yote yaliyopo kwenye hiyo website uyaelewe.

Pia usisahau kusoma somo lote la research. Tafuta kitabu cha research meza chote mkuu.
Asante mkuu ngoja nipambane
 
Back
Top Bottom