tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa tozo za maegesho ya gari

    Utaratibu huu mpya hasa jiji la Dar es salaam kuhusu tozo za maegesho ya gari wahusika wautizame upya.Sipingi kuhusu toz hii bali utaratibu siyo mzuri na unaleta urasimu au usumbufu kwa watumiaji wa magari pale wanapoegesha. Sasa hivi ukiegesha gari waliopewa jukumu kusimamia wana scan na...
  2. JamiiForums Tanzania Mliwashirikisha wananchi kuhusu Tozo kabla ya kuwakata?

    Tumefikia hatua ambayo serikali unalazimishwa wananchi kufanya itakacho, yaani mnaandaa mswada wa sheria kimya kimya kisha mnaupeleka bungeni kwakua mnajua udhaifu wa lile bunge inapitishwa mkaanza kuwalima Tozo wananchi bila ridhaa yao, huu ni uonevu uliokubuhu. Wananchi sasa hawana maamuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama Serikali ingeamua kuongeza tozo hata kwa 100% hakuna Mtanzania angeweza kugoma

    Habari! Binafsi ningependa serikali isingepunguza tozo hata 0.1%, ingewezekana basi tozo zingeongezwa kwa 50-100% ili serikali itimize makusudi yake kwa haraka. Watanzania sio watu wa kuonewa huruma. Wengi ni wanafiki. Kazi yao kulaumu kidogo kisha maisha yanaendelea. Mtanzania akiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Nyankurungu: Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo ni kweli. Yeye alikuwa na "Presumtive Tax assessment" tulilipa kodi hadi za enzi ya Mkapa na Kikwete

    |[ Kwa unyenyekevu Mkubwa, Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020]|, SIKILIZA HII NDUGU YANGU NYANKURUNGU. _______________________________________ Wakati wa Hayati Rais Magufuli...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

    Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu." Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
  6. JamiiForums Tanzania Ukimya Wetu Watanzania ndio unaotuponza katika suala la Tozo na Katiba Mpya

    Nawasalimu Wakuu, Nianze pasipo kupoteza Muda. Kauli ya Serikali ya kusema kua Watanzania wamekubali Tozo haina tofauti hata kidogo na ile kauli yao waliyo toa wakisema Watanzania hawataki katiba mpya wakisema kipaumbele chao ni Maendeleo. Ifikie hatua tuseme kua tunaburuzwa sana kwa ukimya...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kuomba World Vision mshirikiane kujenga madarasa tozo mnapeleka wapi

    Mhe Ummy ni Mgeni rasmi kwenye sherehe ya maika 40 ya World Vision Dodoma, anamuomba Mkurugenzi wa World Vision Gilbert washirikiane kujenga madarasa. Najiuliza walisema tozo zinatosha kabisa kwenye ujenzi wa madarasa, madawati na Hospitali hili la kuomba msaada inakuwaje tena, hapa nadhani...
  8. JamiiForums Tanzania Walaaniwe wale wote wanaoendelea kupanga kuwanyonya maskini kupitia kodi na tozo

    Ole kwao ambao wananchi hawa maskini waliwapa dhamana ya kuwaongoza wakitegemea kuboreshewa maisha na kinyume chake wanawatesa kupitia kodi na tozo zisizo na maana. Ole wao kwa kuwa tunajua hizi zote ni lengo lao la kujilimbikizia mali zaidi na utajiri kwa ajili yao na familia zao. Ole wao...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ushindi wa 2025 uchaguzi mkuu ni lazima - Tunafuta tozo za aina yote kwa mteja

    Tanzania chini ya uongozi wa Chadema hapo 2025 ni kuongoza nchi kama nchi tajiri nambari one duniani,haya matozo ya ajabu ajabu haya yote yanaondolewa. Utajiri uliopo Tanzania unashinda utajiri wa nchi zenye kufukuwa petroli,kiujumla na zaidi ,mafuta yapo Tanzania ,serikali iliyopo na ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tozo zitaendelea kuwepo

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba usiwaadhibu wananchi wa kawaida kwa tozo lukuki, tueleze hali ya uchumi wa nchi ikoje?

    Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii. Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi sasa ni kwamba; 1. Wafanyabiashara wote wakubwa na walipa kodi wakubwa wote wamesamehewa kulipa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri, Serikali itumie Tozo ya Mitandao ya Kijamii kwa ajili ya kupanga miji na kupima Ardhi

    Habari zenu. Nimesikia Waziri wa fedha anapanga kutafuta namna ya kupata tozo kwenye mitandao ya kijamii. Kama hili likiwezekana natoa ushauri kwa serikali kutumia fedha hizo kuunda wakala wa Ardhi na mipango miji. Kazi hii imekuwa inafanywa na Halmashauri lakini zimeshindwa kupima viwanja...
  13. JamiiForums Tanzania Tozo ya uzalendo inatakiwa isizidi gharama za muamala, iwe 'fixed', iwe na muda maalum na iwe hiari

    Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?): Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka benchmark/fixed rate ambayo kila mzalendo atakatwa kiwango sawa bila kujali kiwango cha muamala anaofanya...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha

    Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

    Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba jiuzulu; ulilazimisha wananchi wanyonywe kupitia tozo kubwa

    Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya. Watanzania wakakuona hufai maana ulibuni chanzo cha mapato kisichofaa na kinachowanyonya watanzania wanyonge. Maana...
  17. JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu, kuna yeyote aliyepata mrejesho wa ya tamko la tozo?

    WanaJF, Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala. Je, mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko tajwa atujuze?
  19. JamiiForums Tanzania New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

    Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao. Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.
  20. JamiiForums Tanzania Kama tunapokea msaada wa kuondoa umasikini ina maana tunakiri kuwa Nchini tuna Watu Masikini? Je Masikini hao nao wanatozwa tozo au wanapewa unafuu?

    Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100... Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini Nchini. Hii inamaanisha ya kuwa kama Serikali tunakiri ya kuwa Sehemu ya Wananchi wetu ni Masikini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…