Tozo iwe tsh 500 kwa kila muamala itafikia lengo la makusanyo ya 1.254tr. (Bajeti ya serikali 2021/22) mapato yanayotegemewa kupatikana na tozo ya miamala.Kutegemea na idadi ya miamala iliyokuwa inafanyika kwa siku. ( Makampuni ya simu wanajua data hii)
Inaelekea data ambazo makampuni walizotoa...
Kumbe kila jambo na wakati wake hapa Tegeta kwa mangi wa Tigopesa/ M pesa kuna kafoleni fulani watu wakidraw pesa kwa ajili ya shopping ya weekend.
Kiukweli tusitishane kila mtu anapambana kivyake.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania
1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI
Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote.
Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi.
Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi...
Kwanza naomba ku-declare interest. hii serikali siipendi.
Baada ya hapo niende kwenye mada moja kwa moja.
Baada ya kifo cha kiongozi wetu aliekuwa anazipinga waziwazi conspiracy theories karibu zote zinazohusu corona. Mrithi wake kaja na wazo tofauti. yeye anazikubali pamoja na mambo yake...
Yaani serikali ndio imekosa vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kukamua wanyonge wataotumiwa na pesa na jamaa zao ili kujikimu?
Hivi hakuna maeneo ya kupata hizo Bil 45 mnazodai ni kwa ajili kukamilisha maboma 900 ya shule?
Wananchi wanadai kuwa kama hayati JPM angekuwepo asingekubali...
Wakati mnalalamika na tozo mpya katika MIAMALA ya simu, Dk. Faustine Ndugulile anatuletea kitu kinaitwa "AIRTIME LEVY".
So far inaonekana Mitandao ya mawasiliano ndo Sekta iliyokuwa kwa aharaka sana na imechangamka. Imeonekana ndo sehemu sasa ya kukamua fedha kwa Mgongo wa neno "Tozo'...
Lazima kuwe na MAHUSIANO kati ya gharama za Kodi na uchumi wa WANANCHI kwa taifa lolote nyingi.
Haiwezekani kuwe na Taifa linye Kodi kubwa kuliko uchumi wa mmoja mmoja kwenye hilo Taifa ndio maana TAIFA lenye Kodi nyingi ni mataifa ambayo kipato Cha mmoja mmoja katika Hilo taifa NI kikubwa...
Mh. Rais,
Inaonekana hili suala la tozo za serikali kwenye miamala ya simu halijapokelewa vizuri na watanzania walio wengi, hivyo basi mimi nikushauri ujitokeze mbele ya watanzania kwa unyenyekevu kabisa uwaombe watanzania wakubali hizo tozo na uwahakikishie kuwa hizo pesa zitatumika...
Rais Samia Suluhu Hassan
Asubuhi ya leo, magazeti mengi yalikuwa na vichwa vya habari vinavyoonyesha hofu ya umma inayohusiana na tozo katika miamala ya simu ambazo zilianza jana.
Tozo hizo kupitia miamala ya kidijitali sio mpya nchini Tanzania. Shughuli za elektroniki zinazohusiana na ununuzi...
Thadei Ole Mushi
TUSIFUNGE MJADALA WA MSHAHARA WA MBUNGE.
Na Thadei Ole Mushi.
Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya Mbunge.
Twende sawa hapa.
1. Mbunge hulipwa mshahara kwenye scale ya LSS (P) 2 ambayo mshahara wake...
Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!)
Kwanini?:
Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika...
Ongezeko la tozo za Serikali kwenye miamala ya fedha zimekuwa gumzo kila kona na kuanza kuondoa matumaini kwa Watanzania wa kipato cha chini ambao wamekuwa wakiitumia mitandao ya simu kama vibubu vya kutunza fedha kidogo kidogo na kutuma na kutumiwa fedha hata kwa watoto walioko mashuleni...
Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma.
Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za afya haswa afya ya mama na mtoto.
Ningependa atoe ufafanuzi wa asilimia ngapi ya tozo itaenda huko...
Kiukweli kilio cha wananchi huko mitaani kuhusu maumivu ya tozo za kizalendo au mshikamani kimekuwa kikubwa mno.
Wananchi wanawakumbuka Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe na kusema hivi " vidume" vingekuwepo bungeni ama tozo hizi zisingepita au zingepita baada ya kufanyiwa marekebisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.