tovuti

  1. KERO Website ya ORS BRELA kila siku nikiingia haifanyi kazi

    Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
  2. Faida kuu tatu za kumiliki website au tovuti

    FAIDA KUU TATU ZA KUMILIKI WEBSITE AU TOVUTI zama hizi za uwazi na technolojia , watu wengi wamekuwa wakimiliki website bila kujua faida zitokanazo na website lakini pia wengine wamekuwa wakitamani kumiliki website bila kujua nini faida ya kuwa na platform hiyo. Nini maana ya website? Hii kwa...
  3. Tembelea tovuti ya NIDA kujua kitambulisho chako kiko wapi

  4. Tovuti za ponografia(Ngono) zinaweza kutumia utambulisho kwa njia ya picha na 'Credits cards' ili kulinda watoto

    Ofcom imesema kujitambulisha kwa umri, mbinu za kulipa mtandaoni ambazo hazihitaji mtu kuwa na umri wa miaka 18, kama vile kadi ya benki, au masharti ya jumla. Tovuti zinazoonyesha maudhui ya ponografia(Video za ngono) zinaweza kulazimika kutumia ukaguzi wa kadi ya Benki na kulinganisha...
  5. Mnada wa tovuti za Ecommerce

    Je wewe unatamani kumiliki duka la Mtandaoni?Je tayari unayo fremu ya duka?Je Tayari unazo kurasa za mitandao ya kijamii?Kama Jibu ni Ndio basi huu ni wakati wako. Mnada maalum wa tovuti za E commerce kwa vigezo na mashari yafuatayo: Uwe unauza bidhaa za aina moja mfano kama ni nguo ni nguo...
  6. Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

    https://www.youtube.com/watch?v=Y8ALXkIaiow Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Dkt. Salim Ahmed Salim, leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Maktaba hiyo ya...
  7. W

    Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
  8. Muonekano mpya tovuti ya serikali

    Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz. Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza muonekano mzuri wa tovuti kwasasa tofauti na hapo awali, pia kama mdau wa TEHAMA ni kukufahamisha kuwa...
  9. E

    SoC03 Kupambana na udukuzi kwenye tovuti za taasisi za umma watumishi wazembe wawajibishwe

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kilio juu ya kuwepo kwa udhaifu mkubwa wa kiusalama kwenye tovuti nyingi na mifumo mingine ya TEHAMA ya taasisi za umma. Ni mara nyingi tu yametokea matukio ya mashambulio ya kimtandao na udukuzi kwenye tovuti hizi ambayo yamekuwa yakiliingizia taifa hasara...
  10. E

    SoC03 Njia za mawasiliano kwenye tovuti za taasisi za umma ziboreshwe

    Edogun Mzalendo ni kijana wa miaka ishirini na minne, muhitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta na mmiliki wa steshenari ndogo inayopatikana mjini Kahama. Ni miaka miwili tu imepita toka afungue steshenari yake hiyo lakini amejizolea umaarufu mkubwa sana kutokana na kipaji chake cha...
  11. Uganda: Serikali kufungia Tovuti zote za Ngono

    Naibu Spika wa Bunge Thomas Tayebwa ameiomba serikali kuzuia tovuti zote za ngono ambazo alisema zinawaweka watoto kwa taarifa nyingi zisizofaa. "Watoto wetu wanakabiliwa na katuni za unyanyasaji; vijana wetu wanakabiliwa na ponografia. Katika nchi za Kiislamu, ponografia imezuiwa. Niambie ni...
  12. Mabadiliko ya muonekano wa tovuti ya TCRA yameathiri upatikana wa ripoti za mawasiliano nchini

    TCRA tunaomba mfanye jambo maana leo kuna takwimu nimezifuata lakini kiunga kuelekea kwenye communications statistics hakifikiki Japo muonekano ni mzuri lakini tatizo hili ni kubwa kwa sisi watumiaji wa takwimu kutoka kwenu, Hili nalo mkaliangalie Uzi tayari
  13. SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini matishio yote dhidi ya Tanzania lakini pia kushauri wizara zote juu maswala ya ulinzi na Usalama...
  14. S

    Tovuti za Vyuo Vikuu vya Umma Tanzania ni aibu wakiongozwa na UDOM na Nelson Mandela

    Ndugu zangu watanzania wenzangu katembeleeni tovuti za vyuo vikuu vyetu vya umma anzia na UDOM, nenda Nelson Mandela uje uniambie kama utapata taarifa unazohitaji. Ndio maana watanzania wa kawaida wanawadharau wasomi wetu. Unafungua tovuti ya UDOM ukitegemea upate programme lists, programme...
  15. Ushauri kwa TCRA kitengo cha Tovuti

    TCRA napenda kuwashauri kuhusiana na tovuti hasa zinazo onesha maudhui yasiyo faa. Napenda kuwashauri kuwa hakuna haja ya kufungia tovuti za ngono kwasababu tovuti hizo haziwafuati watumiaji na wala hazilazimishi watumiaji kuzifuata bali ni watumiaji ndio wanaozifuata. Kitendo cha TCRA...
  16. S

    SoC03 Ni mhimu kuwa na tovuti au mfumo wa matokeo kwa shule za msingi na sekondari ili kuwarahisishia wazazi na walezi kupata wepesi wa kufuatilia maendeleo

    Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
  17. Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  18. Do you want to design your website or create a website for your business? Check us

    Attention all business owners! Are you looking to establish a strong online presence for your brand? Look no further than our website design services at KIKIWEB LTD! Our team of expert designers and developers will work closely with you to create a stunning website that reflects your brand...
  19. Serikali na taasisi zenu, nini maana ya kuweka namba za simu kwenye tovuti zenu?

    Manamba hayapatikani wiki nzima, yakipatikana yanaita weeee bila kupokelewa. Hivi Huwa mnaweka namba za ofisi, au zamtu binafsi ila anachoka kuwasaidia Watanzania? Mnakera sana wapuuzi nyinyi. Mtu Unahitaji msaada muhimu sana ,,lakini manamba hayapatikan wiki nzima? Mnakula tu Jasho la...
  20. TRA ni wakati sasa mbadilishe Tovuti yenu iwe ya kisasa

    Kusema ukweli tovuti yenu ya kizamani sana. Taasisi kubwa kama yenu hampaswi kuwa na lay out ya tovuti ya kizee hivi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…