Shikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea...