Mimi nikiwa nje ya Tanzania najitambulisha kama Mtanzania, maana ndiko baba zangu walitoka au kuzaliwa au kuishi au waliamua wenyewe au mimi mwenyewe kuwa ni nchi yangu. Ukiwa ndani ya Tanzania ni mara chache utaamuliza mtu wewe ni Mtanzania, labda awe wa rangi nyingine unaweza kushuku anatoka...