tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nabi na Yanga wamefanya wameleta mtazamo tofauti na uliozeleka africa

    Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti na timu za ulaya. Kanuni ya africa ni ugenini paki basi, komaa nyumbani. Kitendo cha Yanga...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuangazie tofauti za kifikra na kimwamko Tanzania dhidi ya wengine

    Kuweka mizania sawa kwa minajili ya ulinganifu tuiangalie Tanzania dhidi ya wengine EA. Nchi zote hapa kuna lugha rasmi za kibeberu yaani kiingereza au kifaransa. Kwingine kasoro Tanzania si ajabu kukuta watu wa kawaida wakiwamo boda boda, vinyozi, maseremala nk wakizimudu vilivyo lugha hizo za...
  3. JamiiForums Tanzania Je, PM ndio Tatizo? Je, ni uhaini kujadili mitandaoni Uwezo wake?

    Ujasusi, Uwezo binafsi wa kuchanbua Na kuchakata Mambo ni Jambo la kuiga hata Kama si kipaji chako Yapo Makundi mawili yanayoshnikiza PM kuondoka katika nafasi yake nayo ni kama hivi 1.wapinzani , hao ni kawaida kusema fulani aondolewe Na hata mara nyingi maneno Yao uwa hayatishi kwakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

    Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu pakiti ya sigara = sigara 20 bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200 box moja...
  5. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti ya kumegwa kwa Crimea & Co na kumegwa kwa Kossovo?

    Wajuvi karibuni na wanahistoria tupate elimu. Historia ya kumegwa Kosovo toka Serbia kwa msaada wa NATO na kumegwa kwa CRIMEA&Co(Luhansk,Donetsk,Donbass) kwa msaada wa Urussi.Je umegaji upi ni sahihi na upi ulikuwa Si sahihi?, kwa hoja zipi?. Ya Ukraine tunayajua, turejee ya Serbia na Kossovo...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ulaya wana gesi ya kutosha kabisa tofauti na walivyotegemea

    Bara la Ulaya sasa lina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za magharibi kwa kitendo chake cha kuivamia taifa la Ukraine...
  7. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya masalafi na wahabi

    Wakuu amani kwenu, With due respect naomba kujuzwa masalafi ni nani na wahabi ni nani? Ni nini tofauti zao kiimani na kiutamaduni? Je, Wanachangama vipi na Waislamu wengine wa madhehebu tofauti? Karibuni tupeane elimu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza na Tanzania hakuna tofauti

    Ni taratibu zinazofanana na kutofautiana kwa mazingira tu. Tofauti ni pale kwa wenzetu, kiongozi anapokubali kuyashindwa majukumu anajiuzulu. Wakati huku kwetu suala la kushindwa majukumu sio kigezo cha kujiuzulu. Lakini utaratibu ndio huo, Uingereza Chama kinamshukia kiongozi hadi anajiuzulu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  10. JamiiForums Tanzania Sikuona tofauti ya Linesman na Tuisila Kisinda

    Tukiweka ushabiki pembeni kuna mambo ya kuionea huruma sana Yanga. Moja kati ya hayo ni usajili wa Tuisila Kisinda. Nakukumbusha tu kwamba huyu ndiyo mchezaji aliyewalipisha faini Yanga huko CAF ili atumike kimataifa. Huyu ndiyo yule aliyeifanya TFF iingie kwenye aibu kuhusu usajili wake. Huyu...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti na wachaga, kwanini wakabila mengine hayaendelezi makwao na hawapendi kurudi kwao?

    A. MAENDELEO (Kujenga kwao) Mtu ana mafanikio makubwa huku mjini ana nyumba ya kisasa, gari nzuri, kipato cha uhakika, n.k lakini huko kwao hali ni mbaya, Nyumba imekaa kimasikini mpaka aibu, bati lina kutu,ndani vitanda vimechoka, jikoni sufuria ni za kale, n.k… Huu ni uungwana kweli ? kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Katika Mahusiano niliona tofauti kati Yetu na Wao. Sisi sijui tunakwamia wapi?

    Msichana wa kizungu : the man loves me a lot he buys me flowers and give me his Time. He cares "Jamaa ananipenda sana, ananinunulia maua na kunipa muda wake. Anajali. Mzaramo/Mswahili: "Jamaa nimemweka hapa 🖐️hakohoi hapigi chafya nikimwambia tu ninashida na pesa anatuma. Hapa nataka...
  13. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  14. JamiiForums Tanzania Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

    Hili suala tulijadili kwa Logic! Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia. Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu...
  16. JamiiForums Tanzania Fikiria kesho unaamka jinsia tofauti na uliozaliwa nayo

    Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi. Hamna period wala kuzaa yayyy! Wewe je?
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

    Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
  18. JamiiForums Tanzania Ni nini tofauti kati ya Processor Type na Processor Model kwenye laptop

    Kwa mfano unaweza kuta pc iko na specs kama Processor type: Intel core 2Duo Processor Model: intel 6th gen core i7 au i5 nakuendelea Sasa nataka kujua tofauti yake ni nini?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

    Nawasilisha source:IBM channel youtube
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa retail prices za mabati kwa guages na size tofauti

    Wakuu kwema, Najua kuna watu wako kwenye hii industry ya hardwares hasa mabati. Nahitaji kujua bei yake ya madukani. Mfano mabati ya msauzi yale bei zake kwa gauges tofauti na size tofauti mnifahamishe tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…