tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Tofauti ya Chuo, Collage na Institute

    Tanzania ina vyuo vikuu vichache mfano Udsm, Must , SAUT, KAMPALA, UDOM n. K College ziko ndani ya chuo mfano udsm ina CONAS ,CoECIT , COET,Vyuo vinaweza kuwa na campas udsm ina campus ya DUCE, MuchAS Institute sio vyuo vikuu DIT, IFM, CBE hivi ni vitivo vinahusika na fani za aina Moja pekee...
  2. M

    Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  3. M

    Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

    Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100. 1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko 2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election 3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia 4...
  4. Jua tofauti ya freezer za non frost na defrost

    Ni kawaida unapotaka kununua freezer ukakuta wanasema hii freezer ni non frost au defrost maana yake ni nini na zipi ni faida zake kwa kila moja Non frost Hii ni freezer ambayo haigandishi yaani haitoi barafu inamfumo wa cooling ambao hauruhusu kutoa barafu mfano fridge showcase zote ni non...
  5. H

    Kama kweli Mwafrika katokana na adamu na hawa kwanini DNA za Waafrika ni tofauti na za wazungu,wahindi,wachina,wakorea,nk??

    Habarini, Tafakarini juu ya hili kwa kumshirikisha MUNGU WA KWELI WA WATU na siyo mungu wa uongo wa warabu na wazungu. Iweje DNA za WAAFRIKA, wahindi,wachina,wazungu,waafrika ziwe tofauti kama kweli wote wametokana na adamu na hawa??
  6. Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same

    Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la Kampuni ya Osaka lililokuwa likielekea Dar es Salaam, ambapo ilisababisha kifo...
  7. Tofauti ya ukuaji wa watoto wa Kiafrika na watoto wa Kizungu

    Wakuu habari zenu niende kwenye mada moja kwa moja Nimekuwa nikiangalia ukuaji wa watoto wa kwetu na watoto wa kizungu Kupitia movie ata documentary mbali mbali ata series Nilichokuja Tambua ni kwamba wazungu huwai sana ku detect kipaji au kitu fulani special kwa watoto wao So inakuwa...
  8. Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

    Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁 Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?
  9. S

    BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  10. Swali kwa wataalamu wa sayansi; Kwanini tunahisi ladha tofauti ya chakula baada ya kushiba?

    Baada ya kushiba ndiyo tunagundua chakula kimezidi chumvi, ama imepungua au kama ni mihogo baada ya kushiba ndiyo tuna gundua ni michungu. Kama ni juisi baada ya kushiba ndiyo tunagundua sukari imezidi ama imepungua. Kwanini ni baada ya kushiba?
  11. Kauli zinazotolewa na CCM azichukuliwagi hatua tofauti zile zinazotolewa na upinzani

    Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli. Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale serikali na chama kilichopo madarakani zitakapo kuwa zimekosea. Kitendo cha Amos makala kutoa kauli...
  12. Nini tofauti ya baking powder na hamira?

    Wadau naomba msaada juu ya vitu hivyo
  13. Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  14. Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

    "JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: * JF Member: * Hii ni neno la jumla linalorejelea mtu yeyote aliyesajiliwa na anayeshiriki kwenye...
  15. Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

    Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera. Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao...
  16. Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  17. Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  18. Kwanini wasukuma huwa hawalii misibani tofauti na majirani zao wajita na wahaya?

    Wiki iliyopita nilikuwa Magu Masanza kona kuna msiba mzito,baba wa mji aneaga dunia,Nzengo yote iko pale marehemu ameacha mke na watoto na wajukuu. Kilichonishangaza msiba mzima waliokuwa wakilia hawazidi wanne,tena hata katika nyakati ngumu za kuaga na kuzika.,Mtoto wa marehemu yuko bize na...
  19. Nini tofauti ya Muhimbili na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

    Haya majina mawili yachanganya watu, huenda kupitia hapa wengi wanaweza kujifunza jambo. Kwamfano nimeiona hii👇
  20. Sifa za kusifika kimapato tofauti na miundo mbinu iliyomo.

    Kuna wilaya utasikia inasifika kimapato mpaka kuwa kinara ila yaliyomo ndio unaweza kuangua kicheko. Mapato yanayo kusanywa tofauti na miundo mbinu iliyopo. Kuna mada hapa JF imetolewa kuhusu wepo wa viwanda vingi na ufinyu wa barabara. Viwanda vinaweza kuwa na mapato makubwa ya wilaya lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…