tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Mjadala kupinga adhabu ya kifo nchini. TLS yajali utu, yaonesha njia. Adhabu hii ifutwe

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS. Kiukweli TLS...
  2. JamiiForums TLS yadaiwa kugawanyika makundi mawili, Rais Sungusia apingwa na kundi moja

    Mpasuko mkubwa unafukuta ndani ya Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ukihusisha baadhi ya viongozi wanaounda Baraza la uongozi la chama hicho, Jambo Media inaripoti. Taarifa za mpasuko huo zimebainishwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya TLS, zikionyesha wazi kama hali itaendelea hivyo...
  3. JamiiForums TLS kwisha Habari yake, viongozi wake waanza kuhongwa vyeo

    Hivi ndivyo ilivyo , je kuna haja yoyote ya kuendelea kuamini Sungusia na wenzake ? Mbona wakati wa viongozi waliopita mambo hayakuwa hivi ?
  4. JamiiForums TLS, wanachama wenu wanafuata maadili ya uwakili au wanajiendea tu?

    IV. LAWYER AND JUDGE Lawyers and judges owe each other respect, diligence, candor, punctuality, and protection against unjust and improper criticism and attack. Lawyers and judges are equally responsible to protect the dignity and independence of the Court and the profession. l. I will...
  5. R

    JamiiForums Rais TLS: Uongozi wa Rais Samia umejaa Utu na Utawala Bora

    "Mhe. Rais SuluhuSamia tunakushukuru sana kwa uongozi wako bora uliojaa utu utawala bora, malengo mema na bora kabisa ya kujenga maridhiano na kuleta maridhiano ya mifumo, sera na sheria na kutekeleza mipango yakujenga Taifa letu kuwa bora na imara kiuchumi na kijamii. "Tanganyika Law Society...
  6. JamiiForums Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  7. JamiiForums Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?

    Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na...
  8. R

    JamiiForums TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

    Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine. Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
  9. JamiiForums TLS on intergovernmental agreement between the Government of Tanzania and Emirate of Dubai

    Kwa watasha tuu karibuni msongoke --- STATEMENT IN RESPECT TO THE INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA) BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE EMIRATE OF DUBAI CONCERNING THE ECONOMIC AND SOCIAL PARTNERSHIP FOR DEVELOPMENT AND IMPROVING THE PERFORMANCE OF SEA AND LAKE PORTS IN TANZANIA...
  10. R

    JamiiForums TLS, CHADEMA na wote wanaoipenda Nchi yetu, lipelekeni mahakamani suala la Bandari zetu

    Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation) Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights...
  11. JamiiForums Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  12. R

    JamiiForums Hongera Sungusia kuchaguliwa rais wa TLS; matumaini ya katiba mpya yameanza kuonekana

    Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria. Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
  13. JamiiForums Dkt. Mpango: Kuna Mawakili wanatuhumiwa kuchukua rushwa. Profesa Hoseah: Wimbi la Polisi na Vyombo vya Dola kukamata Mawakili ovyo limetulia

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo. RC Mongella anatoa neno Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
  14. JamiiForums UCHAGUZI TLS 2023: Kwanini ni wakati wa Sungusia

    Kwa heshma na taadhima naomba kura kwa Harold Sungusia. Ni wakati wa TLS kutoka kwenye mkwamo na kurudi kutumikia wanachama. Sungusia ni nani? Mbali na uzoefu wake wa zaidi ya miaka 20 kwenye uwakili na kufanya kazi na mashirika mengi ya ndani na kimataifa, Sungusia ni mtu mwenye uzoefu mkubwa...
  15. B

    JamiiForums Mawakili wakiburuza chama chao (TLS) mahakamani "Wanatulazimisha"

    Mawakili wapinga azimio la TLS kulazimisha Mawakili wa Tanganyika Law Society kupitia azimio la mkutano wao wa mwaka AGM annual General Meeting kuwa wanachama wa EALS ambapo itakuwa lazima walipie $20 kuwa wanachama kwa lazima wa chama cha Mawakili Afrika ya Mashariki - East Africa Law Society...
  16. JamiiForums Ajali ya Precision Air: Wanasheria wa LEAT wameonesha njia, TLS wamelala kama pono!

    1) NAWASHUKURU SANA Wanasheria wa LEAT (Lawyers' Environmental Action Team) kwa hii Taarifa yao kwa Umma (ya tarehe 07.11.2022) iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LEAT, Dr. Rugemeleza A. K. Nshala. Hii ni kufuatia Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotumbukia majini jana asubuhi huko...
  17. JamiiForums HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  18. JamiiForums Je, unaweza kumshtaki wakili tapeli TLS?

    Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya mawakili kuwatapeli wananchi kwa sababu ya kutojuwa sheria na mawakili hawa kuutumia umbumbumbu wa sheria wa wananchi kuwafanyia matendo ya dhulma badala ya kuwapa elimu. Sasa nauliza TLS wana kitengo kama una malalamiko na uadilifu wa wakili fulani kwenda...
  19. B

    JamiiForums Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  20. S

    JamiiForums Prof. Edward Hoseah katika utekelezaji wa ahadi 2021- 2022

    1. HUDUMA NA USTAWI WA WANACHAMA - Mpango wa Bima nafuu kutoka TZS 1,056,000 mpaka kufikia TZS 500,000 kwa mwanachama kwa mwaka. -Juhudi za kufanya mazungumzo na Mahakama kuhakikisha miundombinu rafiki kwa Mawakili wenye ulemavu katika majengo ya mahakama. - Kuwezesha jukwaa la Mawakili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…