timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kombe la dunia wenye elimu ya ujumbe kuwa timu zitakazo kutana finali na kama sio fainali basi moja wapo ni hii

    Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana. Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa. Afrika inarudishwa kwa wazungu tena. Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
  2. JamiiForums Tanzania World cup 2026 timu kubwa zote mbovu?

    Nilianza kuangalia world cup toka game ya kwanza Timu Kama Brazil, German Spain zote mbovu Brazil hii na Ile ya 2014 hakuna tofauti German pamoja na kushinda 7 Jana lakini mpira mbovu. Muda huu nipo nawaangalia spain utadhani ni Tunisia iliyochangamka. France nayo baada ya kufunga na...
  3. JamiiForums Tanzania Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  4. JamiiForums Tanzania Uzalendo unahitajika kwenye timu za taifa

    Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
  5. JamiiForums Tanzania Iran yaomba ruhusa FIFA kuhamishia timu yake ya taifa Mexico baada ya kugundulika wachezaji, makocha na maofisa wote wamepitia mafunzo IRGC.

    Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri kuwa wachezaji karibu wote wamepitia mafunzo maalum kutoka jeshi maalum la mapinduzi la Iran maarufu...
  6. JamiiForums Tanzania Julio: Makocha Wazawa tuliipeleka Timu AFCON tukatolewa kiuhuni, lilikuwa jambo baya sana lile

    Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio': “Sometimes napenda Kujilipua, singoji mpaka nife mje mnisifie, kazi aliyofanya Hemed Morocco, Juma Mgunda na mimi kuipeleka timu AFCON afu tukatolewa kiuhuni ni jambo baya sana.
  7. JamiiForums Tanzania Muliro: Kuna timu iliwahi kung'oa viti, kitendo kile sijasahau na upelelezi unaendelea

    Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema kuna timu waliwahi kung'oa viti, kitendo kile sijasahau na upelelezi unaendelea.
  8. JamiiForums Tanzania Timu za England zilizofika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nyingi

    Graphics: InfinityFootball
  9. JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2026/2027

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munich. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  10. JamiiForums Tanzania Mkakati kamambe uanzishwe kuandikisha wanachama wa CHADEMA. Ziundwe timu maalumu kupita nyumba hadi nyumba. Gen Z wawe kipaumbele

    Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili. Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi. Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo maandamano ya kuipinga serikali ambayo haikuchaguliwa na wanannchi yaandaliwe.
  11. JamiiForums Tanzania Mnaonaje timu mbili zikicheza dhidi ya moja.

    Kwa zile timu dhaifu ambazo kila mara huwa zinafungwa ili kuwepo na usawa. Mnaonaje timu mbili zikacheza dhidi ya moja . Yaani mfano simba icheze dhidi ya jkt na pamba. Au Man City icheze dhidi ya Brighton ba Leeds. Brazil dhidi ya Rwanda na Burundi yaani kuwe na fareness kidogo .
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo timu ya Maridhiano kama kutakuwa na maridhiano

    Hawa wawepo ndiyo kutakuwa na maridhiano ya kitaifa.
  13. JamiiForums Tanzania DED: Nimeunda timu kuchunguza madai ya michezo michafu katika Machinjio ya Halmashauri ya Tunduma

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo, amesema ameunda timu huru ya wataalamu kuchunguza tuhuma za ukiukaji wa maadili na usafi katika machinjio ya mji huo zilizosambaa hivi karibuni kupitia video mitandaoni...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kupigwa 6-0 na Yanga, Mbeya City yamtimua na Kocha Mexime na Wasaidizi wake

    Mbeya City FC imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba wa Kocha Mecky Maxime pamoja na wasaidizi wake ambao ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfa na Kocha wa utimamu wa mwili Francis Mkanula. Tunatambua na kuthamini jitihada walizofanya katika kuboresha utendaji wa timu yetu na...
  15. JamiiForums Tanzania Wachezaji 9 wa Arsenal wajiondoa kwenye Timu za Taifa kisa Majeraha

    Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi Eze, Bukayo Saka, Declan Rice, Noni Madueke, na Piero Hincapié Bado haijawekwa wazi watakaa nje ya...
  16. JamiiForums Tanzania Timu ya TRA inanuka Simba, haifai kuhamasisha ulipaji kodi

    Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote. Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

    Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi Italy timu kubwa na maarufu na ina mashabiki wengi ipi kati ya hizi Juventus, AC Milan, Inter Milan, AS Roma, Napoli

    Hapa nani mkubwa kuzidi wenzie maana hapo hizo timu huwa sielewagi nani maarufu. Na yenye mashabiki wengi kuzidi zote hapo
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA ondoeni timu uwanjani tu, ndoto ya demokrasia Tanzania haifikiki bila CCM kugawanyika kutokea ndani

    Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia. Ukweli ni...
  20. JamiiForums Tanzania Simba msikubali hizi faini mnazopigwa na bodi ya ligi, wanaibeba timu masikini halafu pesa wanachukua kwenu

    Hapo vip! Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai. Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…