timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) yatia aibu Côte d'Ivoire

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire). Tanzania tangia tumeenza mchakato wa kupata Vazi la Taifa lililoratibiwa na serikali ya wendawazimu (ccm) hadi leo...
  2. JamiiForums Tanzania Simba mnayo safari ndefu ya kuijenga timu yenu, zile 5 za Yanga zinaweza kuja kujirudia msipofanyia kazi mapungufu yenu!

    Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa sasa! Simba bado Wana shida ya kucheza mpira wa taratibu na kujenga mashambulizi kwa mwendo wa konokono...
  3. JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Congo ikiwa katika picha ya pamoja huku kila mchezaji akiwa amevaa jezi ya Klabu yake

    Nimeupenda ubunifu wao, kwa mbali namuona Inonga na jezi ya Unyamani.
  4. JamiiForums Tanzania Timu yenye malengo haipeleki kikosi kabambe Mapinduzi Cup

    Mashindano ni mengi sana kwa wachezaji walewale. Ligi, FA, CECAFA, Caf champions, AFCON na mechi za kirafiki zote hizi ni muhimu na zina uwezo wa kuzalisha majeruhi kwenye timu yako. Haya mashindano ya Mapinduzi ni muhimu sana kisiasa lakini ratiba yake inaning'inia tu na malengo yake ni hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tumieni mapato ya betting kwaajili ya timu za Taifa

    Badala ya kuanza kuchangisha tunaweza kuamua kutumia mapato yapatikanayo katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu ambayo ni mengi kuboresha na kuinua timu za Taifa kuliko kutembeza bakuli. Mfano wa nchi wanazoelekeza mapato ya betting kwenye timu za Taifa Ni Ujerumani. Ni aibu kila siku...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

    Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
  7. JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea wasitafute mchawi: Wanachokutana nacho ni laana ya kumdhurumu Abramovich timu yake!

    Timu Iko hoi taaban! Suluhisho pekee ni kumrudishia timu yake. Vinginevyo endeleeni kula jeuri yenu!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali TFF mwalikeni Sure Boy katika Timu ya Taifa

    Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama Sure Boy ambaye anaweza kuleta umoja kwa Timu ya Taifa ya Tanzania AFCON. Tunaiomba TFF imwite Sure Boy na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni Sure Boy na Aucho tu. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
  10. JamiiForums Tanzania Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

    Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote. Pia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Timu za Kariakoo ifike mahala msajili wachezaji toka Afrika Kaskazini na muachane na Afrika ya Magharibi na Kati

    Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi. Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika kusajili Toka North Africa.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

    Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu; "Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

    Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili? Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction. Kwanini kama lengo ni kuutangaza mlima isiwe specific timu ikaitwa Mount Kilimanjaro Stars kuliko hivi sasa ambapo...
  14. JamiiForums Tanzania Unatabiri nafasi moja iliyobaki itaenda kwa timu gani kutoka Africa kushiriki kombe la dunia la vilabu ?

    Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
  15. JamiiForums Tanzania Benchika sio kocha. Huwezi pangiwa timu

    Alivyokuja akajifanya hana mpango na Boko vile. Akaanza kuwabwaga Chama na Phiri. Na akiendelea kuwasikiliza anaenda kuiua timu kifo cha mende.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Simba achaneni na mapinduzi cup tengenezeni timu

    Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji. Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe. Wakati huu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Timu ya Wiki Caf Champions League 2023/2024

    Ligi ya Tanzania imekua wachezaji 5 sio haba .
  18. M

    JamiiForums Tanzania Madeama ni kama timu ya Mashujaa ya Kigoma: Hamasa kubwa, kujituma kwingi, mwisho wa siku kubaki karibu mkiani

    Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale zaidi ya jihad!! Sitarajii mtu ajisifu kufunga kitimu hicho ambacho hata kwenye 30 bora ya Afrika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa CAF kwa vilabu Afrika: Kuna timu kama Medeama hata utafute kwa tochi hutaziona

    ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking) Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points,Rank za caf ngazi ya vilabu,CAF club points,CAF...
  20. JamiiForums Tanzania Ama kweli Wydad wakubali kuanza upya kuijenga timu yao, kwa timu hii waliyonayo na uchezaji wao kazi wanayo!

    Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza. Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu! Simba msijisifu kumfunga wydad...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…