Tanzania tumieni mapato ya betting kwaajili ya timu za Taifa

Newbies

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,481
2,152
Badala ya kuanza kuchangisha tunaweza kuamua kutumia mapato yapatikanayo katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu ambayo ni mengi kuboresha na kuinua timu za Taifa kuliko kutembeza bakuli.

Mfano wa nchi wanazoelekeza mapato ya betting kwenye timu za Taifa Ni Ujerumani. Ni aibu kila siku kujinasibu kuongezeka kwa makusanyo then tunaitisha michango, watatucheka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom