timu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

    ISLAMIC FOOTBALL CLUB
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari. Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Japheti Hasunga aahidi kutafuta timu ya ligi kuu Songwe

    AHADI imetolewa kwamba wagombea ubunge na udiwani wa CCM wakichaguliwa kwenye uchaguzi mkuu watahakikisha Mkoa wa Songwe unapata timu inayoweza kushindana kwenye ligi kuu. Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Vwawa kupitia CCM, Japheti Hasunga ametoa ahadi hiyo jana alipoomba kura kwenye mkutano...
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Muondoeni Julio timu ya taifa, hafai hafai kabisa

    Leo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu. Nadhani ni mradi wa mtu fulani hapo tff kumpa yeye ukocha ili wagawane mshahara. Kituko cha mwaka ni julio alichoongea...
  6. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Je, FIFA inakataza chama cha siasa kuwa na timu ya mpira wa miguu?

    Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football: Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu? Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu? je, FIFA na TFF katiba...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawaendi uwanjani inapocheza timu ya taifa

    Tanzania tumepata bahati ya ku host mashindano Makubwa ya CHAN 2025 pamoja na Kenya na Uganda Kwa wenzetu Kenya tunaona viwanja vinajaa na TV zinawekwa kwenye maeneo ya wazi, Watu wana hamasa mno Hapa kwetu Tanzania tumeonekana hata kufika watu 10, 000 kwenye uwanja wa kubwa watu 64, 000...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango amesema kuwa maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wazi yanaendelea vizuri nchini Tanzania na kutoa mwaliko kwa SADC kutuma timu ya waangalizi kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dkt...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa wachezaji wote wa Yanga, timu ya taifa inapwaya

    Lakini ukiondoa wale wa upande wapili timu inaendelea kukiwasha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

    Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Jumanne kaseja anaweza akawa ndo aliishusha ile timu ya ligu kuu kanda ya ziwa na sasa anapambana kuipandisha timu yake ya nyumbani?

    Kipi ni kipi jumanne kaseja amekuwa jumanne kaseja je alihusika kuishusha timu ya ligi kuu ya kanda ya ziwa. Je kwakuwa timu ya kanda ya ziwa ilichukua ubingwa Mara moja na kushushwa daraja. Na mbaya wachezaji wake wa kutegemewa wanazidi kupoteana . Je alaumiwe jummanne Kaseja au lilaumiwe...
  13. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

    Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Hiyo bilioni tuiombe kwenye uwekezaji timu ya taifa

    Baada ya hicho kibunda kuwekwa kama timu ya taifa itaweza kutwaa kombe la Chan kili nikiitazama hakuna namna tunaweza kushinda hilo kombe . Hivyo hakuna namna hii pesa itapatikana badala yake tuionbe itumike kwenye uwekezaji wa kuboresha timu ya taifa kama kuboresha benji la ufundi kupata...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Timu ya IAEA itazuru Iran lakini haitafika katika vituo vya nyuklia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa kutembelea vituo vya nyuklia vya Iran. Bw. Gharibabadi, ambaye yuko New York, alisema kuwa Iran...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Timu ya Jangwani wana dhuluma sana Sema waandishi wengi wako upande wao

    Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  20. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
Back
Top Bottom