tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Muda wa uongozi wa TFF na bodi ya ligi unaisha lini?

    Kwa kweli uongozi wa TFF na Bodi ya Ligi una changomoto kubwa sana hasa kutokana vilabu vya Yanga na Simba. Uongozi wao siyo imara. Ninauliza muda wa uongozi wao unaisha lini ili watupishe tuchague uongozi mpya. Nitashangaa sana kama uongozi huo wa TFF na Bodi ya Ligi watarudi tena...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

    Yanga ndo Giant football in Tanzania Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby...
  3. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Soka nchini yameletwa na Azam TV, wadhamini na wafadhili wa vilabu sio umahiri wa Bodi ya Ligi wala TFF

    Ninashangaa sana wadau wanaosifia kwamba maendeleo ya mpira wa Tanzania yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na TFF na Bodi ya Ligi, Jambo ambalo si kweli. Miaka kadhaa hapo nyuma timu nyingi hazikuwa na hali nzuri kifedha kiasi cha kushindwa kusafiri kwenye mechi za mikoani, Ilikuwa ni jambo gumu mno...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Yanga kuandika barua ya kurasa 170; Serikali yasema haitaingilia Bodi ya Ligi na TFF

    Ninazo taarifa kuwa Klabu ya Yanga imeandika waraka wa kurasa 174 kwa serikali huku ikitumia wadau wake walioko serikalini. Waraka huo ni mwendelezo ya mashtaka yaliyotupwa na CAS. Pamoja na hayo serikali imetoa tamko rasmi kwamba haiko tayari kuingilia suala hilo kwa sababu ni kinyume na...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Yanga msicheze dabi, TFF inaongoza kwa upendeleo

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amesema Klabu ya Yanga inapaswa kusimamia msimamo wake wa kutocheza mechi ya watani wa jadi dhidi ya Simba, iliyopangwa kufanyika Juni 15, 2025. Akizungumza leo Mei 6, 2025, jijini Dodoma, Musiba amesema Serikali haipaswi kukaa kimya huku viongozi wa soka...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi chutuma, haya maji ni marefu mtazama

    TFF na taasisi zake zimeshindwa kusimamia maslahi ya football Tanzania Viongozi wa TFF wamejawa na mahaba na ushabiki Kwa Simba 1. Bodi ya ligi moihairisha mechi mkasema Kuna uvunjifu wa kanuni na Tuhuma za rushwa Leo mnatoka mnataka kupanga tarehe ya mchezo je hao waliosababisha mchezo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

    Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF. Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii TFF. Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sifa za kugombea nafasi za uongozi TFF, Karia kakosa ipi?

    Zifuatazo ni sifa za wagombea ndani ya TFF. 1. Awe raia wa Tanzania. 2. Awe na kiwango cha elimu kisichopungua kidato cha nne (Cheti cha Elimu ya Sekondari). 3. Awe na uzoefu wa uendeshaji Mpira wa Miguu uliothibitishwa wa angalau miaka mitano. 4. Asiwe na hatia yoyote ya kosa la jinai na...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa TFF kiboko, wanaramba hata timu za majeshi.

    Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya, Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TFF vs Yanga, Simba angedroo Yanga angechukua ubingwa bila Derby

    Kuna mvutano na vita kubwa kati ya Yanga na TFF, kwani Yanga ilisema haitacheza mchezo wa Derby , ambapo TFF anafanya Kila namna , na Kila hujuma Ili Derby ichezwe Kwa namna yoyote Ile. Hivyo Kwa matokeo ya Leo, isingewezekana TFF wakubali Simba apate draw ,hivyo Kuna uwezekano mkubwa Refa...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF na kamati zake zote Kwa maksudi zimeamua kuhujumu Yanga

    Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga hajashindwa kesi CAS dhidi ya TFF, Bodi ya ligi na Simba sc

    Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya shauri la Liston Katabazi dhidi ya TFF, kuamuliwa Juni 16, 2025

    Hukumu ya shauri la Liston Katabazi dhidi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyokuwa itolewe tarehe ya hukumu ya shauri hilo Aprili 23, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa Juni 16, 2025. Rufaa hiyo ilikuwa isikilizwe na Jaji Butamo Philip, imeahirishwa kwa...
  14. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni! Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu!

    Wadau na wapenzi wa mpira! Niiombe TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni! Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu! Kwani hawa watu ndiyo wanarudishaa maendeleo ya soka letu! Japo najua ni vigumu sana kuwakamata ila mkiwa wakali...
  15. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tff mnapuuzia bila kufanya uchunguzi kocha matano wa fountain gate amewafungulia njia yanga wanapanga matokeo....

    Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri TFF wawape Yanga na Simba point moja, moja

    Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga. Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF inakaa kimya ushirikina wa Simba?

    TFF na Simba kuna uhusiano gani? Simba inaonyesha waziwazi kuwa inafanya ushirikina kwenye michezo lakini Bodi ya ligi na TFF wanajifanya hawaoni kitu; tena inazilazimisha timu nyingine zikutane na ushirikina wa Simba kwa kuzipa faini timu zinazojitahidi kukwepa kukutana na ushirikina wa Simba...
  18. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF inashinikiza uchaguzi Wa viongozi wa soka Mbeya?

    MBEYA KUMENOGA HASWAAA Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati...
  19. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mbeya kesho ni batili, TFF kuweni makini

    Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa serikali, na wadau wengine kuingilia kati ili Haki ipatikane na mkoa uweze kuongozeka. Iko hivi, awali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, igeni mfano wa Jeshi la Polisi katika kushughulika na wahuni kwenye mpira wetu

    Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli. Hongereni Jeshi la...
Back
Top Bottom