Tunaenda AFCON TFF Tafuteni kocha mwenye CV

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,519
Reaction score
12,451
Tanzania hatujawahi kushinda mchezo wowote katika kushiriki kwetu afcon. Kwa ufupi nimiongoni mwa timu dhaifu sana katika mashindano ya AFCON zilizopita.

Pamoja na unyonge huo tunatakiwa kujitutumua kwenye maandalizi , TFF tafuteni mwalimu mwenye uwezo mkubwa na hili halihitaji kupepesa macho. Nchi inayoshika nafasi zaidi ya 110 haiwezi kutoa kocha mwenye mafanikio , nchi zinazotumia makocha wa nchi zao ninchi zenye mafanikio kimpira.

Kuhusu ligi namba 5 africa , hilo lisituponze kabisa , ukitaka kujua ubora wa ligi yetu ondoa Simba, Yanga, na singida big staa na timu zenye wachezaji wa kigeni kinachobaki ndio ligi yetu
 
Tumeisha wajaribu sana hao wenye CV na bado mambo yalikuwa haya haya
Tumeifunga zambia kwao wakiwa na kocha mzoefu mno wa mpira Avram Grant
Nadhani huu wakati twende na kiemba na Julio wakiwa chini ya Moroko
 
Sawa utaona matoke yake

Waende Brazil au Argentina wachukue kocha hata wa ligi ya daraja la 8 kule, anaweza kutufikisha hata robo fainali au kuchukua ubingwa kabisa.
 
Kocha mwenye cv tumpeleke wapi ?
Anyway no reform no election.
 
Hapa hata umlete carlo nakuambia kama hakuna vijana wanaoujua mpira ni kazi bure.

Tatizo hatuna players ambao ligi kubea duniani wanaweza kuangazia macho huku ili wawachukue

Unaona vitoto vya spain namna vinavyo ubonda? Pale usidhani eti kisa kocha vile ni vipaji na vimeandalowa tangu mbali. Hapa tz hali ipoje?
 
Mpira unafundishika mkuu
 
Tanzania hatujawahi kushinda mchezo wowote katika kushiriki kwetu afcon. Kwa ufupi nimiongoni mwa timu dhaifu sana katika mashindano ya AFCON zilizopita.

Pamoja na unyonge huo tunatakiwa kujitutumua kwenye maandalizi , TFF tafuteni mwalimu mwenye uwezo mkubwa na hili halihitaji kupepesa macho. Nchi inayoshika nafasi zaidi ya 110 haiwezi kutoa kocha mwenye mafanikio , nchi zinazotumia makocha wa nchi zao ninchi zenye mafanikio kimpira.

Kuhusu ligi namba 5 africa , hilo lisituponze kabisa , ukitaka kujua ubora wa ligi yetu ondoa Simba, Yanga, na singida big staa na timu zenye wachezaji wa kigeni kinachobaki ndio ligi yetu
naunga mkono hoja huyo morroco,mgunda na julio hawana uwezo wa kufundisha taifa stars
 
Uwezo wa kufundisha taifa stars wanao ila hawana uwezo wa kupambana na viwango vya makocha wa timu za taifa za mataifa mengine
 
Mpira unafundishika mkuu
Wachezaji wangapi wameenda kufanya mjaribio nje na kushindwa? Ni kuwa wenzetu wako.mbele sana. Viwanja, sera, uwekezaji, vipaji, unakuta club moja ina

Senior team
Under 20
Under 19
Under 18

Huko kote wanapika vipaji.

Bado wanaweza kwenda kwenye soko la dunia kumnunua mchezaji wanaye mtaka

Je unajua kwa uhafifu wa kimpira tulionao hakuna mchezaji nweza toka bongo direct asajiliwe Epl?
 
Uwezo wa kufundisha taifa stars wanao ila hawana uwezo wa kupambana na viwango vya makocha wa timu za taifa za mataifa mengine
Makocha hawachezi bali viwngo vy wachezaji. Kocha yupo kuingiza mbinu na kupangua mbinu za opponent. Ukiweza mbinu halafu wchezaji ndo kama hao akina bacca, hossein, n.k hufiki popote. Quality ya mchezaji itaamua mechi.

FAINALI YA KOMBE LA DUNIA MBINU ZAMAKOCHA ZILIWEKWA KANDO. KILICHO BAKI PALE ILIKUWA QUALITY ZA WACHEZAJI NDIO ZILIAMUA MECHI ILE.
 
Pamoja na hivyo kocha ana nafasi kubwa sana katika kusaka vipaji vya timu ya taifa pamoja na kurekebisha kasoro za kiuchezaji n.k
 
Wachezaji wangapi wameenda kufanya mjaribio nje na kushindwa? Ni kuwa wenzetu wako.mbele sana. Viwanja, sera, uwekezaji, vipaji, unakuta club moja ina

Senior team
Under 20
Under 19
Under 18

Huko kote wanapika vipaji.

Bado wanaweza kwenda kwenye soko la dunia kumnunua mchezaji wanaye mtaka

Je unajua kwa uhafifu wa kimpira tulionao hakuna mchezaji nweza toka bongo direct asajiliwe Epl?
Tuseme ukweli, TFF hawana nia ya dhati kuhakikisha mpira wa Tanzania unakua. Yaani wameshindwa nini kuchukua watoto wa miaka 8 na kuendelea (hata wa kwangu ningeweza kuwapa) wakawapeleka academy za soka nchi za ulaya, Spain, France, UK, na kule America, Brazil ,Argentina ili wakajifunze? Waingie mikataba na wazazi wa watoto kuwa gharama zote zitakua juu ya TFF na wao wazazi watapata access ya kuwaona watoto wao kwa utaratibu wataokubaliana, wazazi hawawezi kataa kutoa watoto wenye vipaji.

Kila nchi wapeleke mtoto 1, baada ya miaka 5 watoto warudi nchini, tutakuwa na mapro hatari sana. Wapeleke watoto 22 tu. Kutakua 💥🔥

Sema ndio hivyo, timu ni Simba na Yanga na viongozi ndio haohao wa Simba na Yanga
 
Pamoja na hivyo kocha ana nafasi kubwa sana katika kusaka vipaji vya timu ya taifa pamoja na kurekebisha kasoro za kiuchezaji n.k
Hapo ndo unamis point. Vipaji haviskwi kwenye timu ya taifa. Pale vinakusnywa vipaji ambavyo tayari ni vipaji. Na unajua vinatokea wapi?

Hapo ndo sera, uwekezaji, club muscles vinapo takiwa. Kama kwenye ngazi ya vilabu ndo kama hivyo kugombania uwanja mmoja kama kmc na mnajiita eti ni giants hapo mnadanganyana
 
Tuseme ukweli, TFF hawana nia ya dhati kuhakikisha mpira wa Tanzania unakua. Yaani wameshindwa nini kuchukua watoto wa miaka 8 na kuendelea (hata wa kwangu ningeweza kuwapa) wakawapeleka academy za soka nchi za ulaya, Spain, France, UK, na kule America, Brazil ,Argentina ili wakajifunze? Waingie mikataba na wazazi wa watoto kuwa gharama zote zitakua juu ya TFF na wao wazazi watapata access ya kuwaona watoto wao kwa utaratibu wataokubaliana, wazazi hawawezi kataa kutoa watoto wenye vipaji.

Kila nchi wapeleke mtoto 1, baada ya miaka 5 watoto warudi nchini, tutakuwa na mapro hatari sana. Wapeleke watoto 22 tu. Kutakua 💥🔥

Sema ndio hivyo, timu ni Simba na Yanga na viongozi ndio haohao wa Simba na Yanga
Hapa sasa unaanza kuongea points
 
Back
Top Bottom