teuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakati kelele za Katiba mpya zikikolea, Ni yapi makubaliano kwenye "Muundo wa muungano, Mahakama ya kadhi, Muundo wa Tume huru na Mamlaka ya Teuzi?

    Bila makubaliano na haya. Tutegemee kukwama tena
  2. P

    Wanaolia teuzi za Rais Samia wameshaisahau Awamu ya Tano na tuhuma za 'Kanda Maalum'

    Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa ikulu. Na maisha yanakwenda kasi sana. Wahenga tunaoazima mara nyingi busara zao wanayo misemo...
  3. Sasa kama kumbe Kutokukoma kwa Teuzi ni Agenda ya Siri ya CCM kuwa kila mwana CCM lazima ale Keki ya nchi kwanini msiseme tu?

    Nasikia umeshauriwa na Mtu unayemuamini na kumsikiliza mno kuwa ili mwaka 2025 upate Uungwaji mkono na wana CCM wote hakikisha kila mara unawapa Ulaji ili Waibe na Wajitosheleze kisha unawapa na Fursa hiyo hiyo na Wengine ili wapige na hadi hiyo 2025 wasije Kukulaumu. Nimedokezwa kuwa kati ya...
  4. Teuzi za viongozi wa ngazi za juu katika utumishi wa umma

    Mojawapo ya mambo ambayo hawa waitwao ‘viongozi’ wetu wanayaweza ni kuteua na kutengua watu wa kuzijaza nafasi za uongozi hususan serikalini na kwenye idara zake. Na jambo kubwa linalonichefua sana ni hii dhana ya kuonekana mtu ‘kaula’ anapoteuliwa na Rais kwenye nafasi yoyote ile ya kiuongozi...
  5. Teuzi mbalimbali kujaa majina ya watoto wa viongozi na vigogo Serikalini kama taifa tunaelekea wapi?

    Nipo nawaza tu kama mwanangu nae ipo siku mtamkumbuka kwenye teuzi zenu ama ndiyo atakula kulingana na urefu wa kamba ya baba yake ilipoishia. Kweli maisha kwa masikini ni ndoto isiyofikika, dunia uwanja wa vita na sisi ndiyo tunaopiganishwa, masikini mwenzangu hamka ukachakarike uitafutie...
  6. UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
  7. Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A)...
  8. R

    Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

    Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
  9. U

    Majukumu ya Kafulila ni kumsaidia Mwigulu Nchemba

    David Kafulila ameteuliwa Kuwa Kamishna Idara ya Ubia kati ya sekta ya Umma na sekta Binafsi ambayo ni miongoni mwa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango. Majukumu ya Idara ya PPP: 1. Kusimamia, kuchambua na kuzishauri Mamlaka za Serikali katika uanzishwaji, uchambuzi na utekelezaji wa miradi ya...
  10. Z

    Hali ya uteuzi imekuwa kama abiria wa daladala! Kupanda, kushuka, na kusukumwa pembeni

    Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni. Tatizo ni uimara wa...
  11. M

    Yuko wapi Erick Komanya Kitwala. Alikuwa Dc Tabora na teuzi yake toka kwa hayati ilisadikika kujaa upendeleo

    Hatumuoni kwenye majukwaa ya CCM akirap. Baba yake alifanya kazi na hayati Nyanza Coop Ltd na hapa ndio ikawa mwanya wa upendeleo. Alichukiwa na wanaunyanyembe sana. Hasa waswezi wa unyanyembe kwa dharau zake
  12. Teuzi za Rais Mwinyi zaanza kuivuruga ACT Wazalendo, Zitto apinga wazi

    Hatua ya Rais Hussein Mwinyi kumteua Thabit Idarous Faina kuwa mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambayo ilikosolewa na Chama cha ACT Wazalendo kilichopendekeza asiapishwe, imekichanganya kiasi cha kuitisha mkutano wa dharura kujadili hatua za kuchukua. Kikubwa kinacholalamikiwa na...
  13. Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Tangu kutumbuliwa kwa...
  14. Kwanini 99% ya Teuzi zote za Awamu hii ya Rais Samia hufanyika Usiku na Siku za Jumapili tu?

    Nasubiri Mirejesho yenu Watu wa Itifaki, Great Thinkers na Wabobezi wa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania hapa JamiiForums ili mtuelimishe akina GENTAMYCINE tusiojua lolote na chochote.
  15. Huyu Elia Wilinasi anastahili teuzi kwenye taasisi nyeti kwanini serikali isimchukue na kumtumia

    Nimejaribu kusoma CV ya huyu kijana anaitwa Elia Wilinasi nimeshituka sana. Hii ndio CV yake https://www.linkedin.com/in/elia-wilinasi-a08443175 Kama mnakumbuka nimewahi kuleta uzi mmoja uliokua unaeleza jinsi alivyo toa ushauri kuhusu bei ya mafuta, gesi and mbolea na hatua ambazo serikali...
  16. K

    Katiba Mpya ihusishe kamati za bunge kwenye teuzi muhimu

    Naunga mkono hoja hii
  17. Teuzi zile zile, wateuliwa wale wale, kama haujawahi kuwemo hautakuwemo milele

    Kuna watu wamezaliwa mchana wengine usiku wa Giza Totoro. Hivi ni kwanini teuzi zinazunguka kwa watu wale wale? Anatolewa huku anapelekwa kule, hata akistaafu anaambiwa tunakupa kazi ya kukusaidia kukushika mkono. Inafikia mtu anazeeka anashindwa hata kuandika au kunyanyuka kwenye kiti bado ni...
  18. Tunapojadili teuzi tusisahau na mfumo wa nchi

    Sizuii kujadili hizi teuzi lakini naona tunapoteza muda kujadili sungura katikati ya mbwa mwitu mtu mmoja au wawili hawawezi kubadili hali ya utendaji katika mfumo mbovu watu wengi wana uwezo wa kufanya vizuri ila wanajikuta mfumo unawalazimu kufanya wasiyopenda niwakumbushe kidogo wakati wa...
  19. Rais Samia huwa anatumia vigezo gani katika teuzi zake?

    Wakuu, Rais wetu mara kadhaa amekuwa akiteuwa na kutengua teuzi zake, pia amekuwa akibadili majukumu ya viongozi mara kwa mara, mara hii hadi kaamua kumrejesha mtu aliwahi kumtumbua katika position ile ile! Sasa maswali ni je, huwa anazingatia Nini hasa katika teuzi za viongozi mbalimbali...
  20. Teuzi za Rais Samia zinavyoinua wanawake

    Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%. Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa wanawake tangu uhuru wa Tanzania zaidi ya miaka 60 iliyopita. Rais Samia Suluhu anaamini katika usawa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…