Habari wakuu,
Nahitaji mtu makini wa kutengeneza website ya biashara. Kwa sasa itakuwa maily ni static website, except page ya blog/news/media ambayo ni dynamic ambapo Admin ataweza kuwa anaweka taarifa inapombidi. ikiwa pia standby forms za kulogin, sign-up na comment sections (ifanye kazi)...