Katika harakati za mahusiano kuna changamoto nyingi.
Mtu anaweza kukuacha kwa sababu ndogo tu mfano,
Huna hela kwa kipindi fulan. Akakimbilia kwa mwingine anayefikiri ni bora zaidi.
Tamaa ya mali mf. gari, nyumba n.k akakuacha kwa sababu huna hivyo vitu.
Ameshakuzoea akakuona huna ladha na...